Rais Magufuli timua hao wasimamizi watatu waliotuangusha!

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,141
20,787
Hawa watu watatu ndiyo wamesababisha tumeshindwa kutimiza adhma yetu sisi kama chama kuchukua kata zote.

Ikiwa tumeweza kufanya ya kufanya tukashinda kata 40 wao wameshindwaje kufuata maelekezo? Ifike mahala tuwe serious, tunaposema tunataka nchi nzima iwe CCM ni lazima watu wote waelewe hivyo.

Kwahiyo hawa watatu ni lazima washughulikiwe kwa kwenda kinyume na mipango yetu, inaonekana wamenunulia na CDM..

Kidumu chama cha mapinduzi.

CCM oyeeeeeee!!!

Hapa kazi tu, Siasa hamna mpaka 2025.

Mzalendo-Mgibeon
 
Niko mahali CCM wanasherehekea ushindi wa kata 1 tangu asubuhi ni muziki vipaza sauti vya nguvu hakuna mtu mwenye taimu nao wako na nguo zao za kijani nilitarajia watu wataenda hata kushangaa mziki.
 
Mkuu Tetty sema chochote, usipite kimya kimya!

Unajua Mgibeon nimefurahi sana sana maana CCM walishapigwa kabla hata ya kupiga KURA walipohesabu kura wakaona hawana cha kumwambia Mzee,maana ile kauli Wakurugenzi mnalipwa na serikali ya CCM halafu mnachagua Upinzani,muache kabisa huo upumbavu,ndiyo nimeona imetumika kama SHERIA ya UCHAGUZI na ndiyo sababu hata Kailima kutoka Tawi la dogo la CCM ndani ya Tume ya Uchaguzi kusema 95% Uchaguzi ulikuwa huru na haki,unataka niseme nini zaidi ya kufurahi namna amabvyo UPINZANI unatisha?

Ukiona Polisi wa mkoa au wilaya nzima wanahamia kwenye kata ujue kuna homa ya ng'ombe hapo imetokea hivyo tunaangalia maisha baada ya uchaguzi
 
Aiseeeee, inasikitisha sana!
 
Hawa watu watatu ndiyo wamesababisha tumeshindwa kutimiza adhma yetu sisi kama chama kuchukua kata zote.

Ikiwa tumeweza kufanya ya kufanya tukashinda kata 40 wao wameshindwaje kufuata maelekezo? Ifike mahala tuwe serious, tunaposema tunataka nchi nzima iwe CCM ni lazima watu wote waelewe hivyo.

Kwahiyo hawa watatu ni lazima washughulikiwe kwa kwenda kinyume na mipango yetu, inaonekana wamenunulia na CDM..

Kidumu chama cha mapinduzi.

CCM oyeeeeeee!!!

Hapa kazi tu, Siasa hamna mpaka 2025.

Mzalendo-Mgibeon

Nunga mkono hoja. Hao inaonekana siyo watii kwa maelekezo ya mwenyekti wa ccm. Wafukuzeni.
 
Back
Top Bottom