Rais Magufuli, tengua haraka agizo la Makonda kabla halijaleta madhara yoyote

Tunacho taka barabara idekiwe, hivyo vitu vingine utajua wewe
Basi usimamizi ufanywe na polisi, na kama ni lazima kutumia jeshi (JKT) basi agizo hilo litolewe na amiri jeshi mkuu sio mkuu wa mkoa, na utekelezaji uanze baada ya kupitia utaratibu wa kutunga sheria
 
Hujawahi kufika Moshi ndugu mtoa mada? Mbona Moshi imewezekana? Tena ingependeza hata atumie JW na sio JKT.
 
Aisee inashangaza sana, makonda anatunga sheria, halafu anazisimamia yeye mwenyewe kwa kutumia jeshi, halafu anatoa adhabu yeye mwenyewe, halafu watu woote wenye akili tubaki tunamwangalia tu, hapana, lazima tuseme katiba na sheria viheshimiwe
 
Hujawahi kufika Moshi ndugu mtoa mada? Mbona Moshi imewezekana? Tena ingependeza hata atumie JW na sio JKT.
Moshi hatupigi deki barabara, wala hatutumii jeshi, wala sheria na adhabu hazitungwi na mtu mmoja acha ushabiki wa kitoto
 
Kwa hiy mwanao ata ndan unamruhusu atupe taka? Najua akimwaga uchafu utamwambia afagie... au aokote ss sio mby mtashuk ili mdeki barabara
 
Zitto alisema nchi mmempa mshamba.....haya sasa dar mnakohoa damu
20190801_202229.jpeg
 
Chadema bana, Yule Mgombea wenu na Rais wa miyoyo yenu mlimpigia deki lakini sijui kwanini kwenye mambo ya msingi hamtaki kupiga deki??
 
Katupe uchafu Moshi ndio utajua kweli watu hawana msalie likija suala la uchafu
Ila kupiga deki kwa kweli sio Rais kutengua hata yeye mwenyewe naona anasema alikuwa ana kazia tu
 
Back
Top Bottom