MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Jamaa'ko kakurupuka. Nae kawa mtunga sheria siku hiziHao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Mkuu utapigaje deki barabara kilomita moja na foleni za Dar?, maji unatoa wapi?, dekio unatoa wapi?Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
We fanya utani tu, ukumbuke JKT ni wanajeshi sio polisi, utaukumbuka huu uziMh.Makonda msamehe MKWEPA KODI.
Anatoa matamko yenye kuhatarisha amani na usalama bila kufikiria madhara yakeBashite again
We fanya utani tu, ukumbuke JKT ni wanajeshi sio polisi, utaukumbuka huu uzi
Suluhisho usitupe taka barabarani acha kulalama,nahisi utakuwa namba moja kwa kutupa taka ovyo!
Weka Dustin kwenye gari lako, mtu akipanda unamtangazia kuwa ni marufuku kutupa taka njeMkuu utapigaje deki barabara kilomita moja na foleni za Dar?, maji unatoa wapi?, dekio unatoa wapi?
Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Mkuu nazungumzia utekelezaji wa hiyo adhabu, hebu tulia uusome uzi vizuri halafu ndiyo urudi tenaWeka Dustin kwenye gari lako, mtu akipanda unamtangazia kuwa ni marufuku kutupa taka nje
Makonda hoyeee 😂😂Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Hao hao UVCCM ndiyo watakuja kulalamika humu JFUvccm mko wengi siku hizi mtandaoni.
Mkuu mimi ni mtu mwenye akili sana, sipo katika kundi la watu wa kiwango hicho cha akili ila natoa tahadhari tuSuluhisho usitupe taka barabarani acha kulalama,nahisi utakuwa namba moja kwa kutupa taka ovyo!
Habari wakuu,
Naamini wote tumemsikia mkuu wa mkoa wa Dar alipokuwa akitoa agizo kwa vijana wetu wa JKT, kuwa mtu mwenye gari akitupa taka barabarani asipigwe fine bali apewe adhabu ya kupiga deki barabara kwa kilomita isiyopungua moja, kuna wakati huwa tunatembea na watoto wetu kwenye magari au wagonjwa, kuna wengine hawana taarifa juu ya adhabu hii ambayo sijawahi kuisikia popote dunia nzima, sio kwamba nataka kutetea uchafu hapana, ninachotaka kusema ni kuwa tuheshimu sheria, adhabu hii nina hakika kuna siku itakuja kuleta matatizo, kwa sababu JKT ni wanajeshi, hayo maji ya kupigia deki madereva watayatoa wapi?, urefu wa barabara kilomita moja sio mchezo, foleni za Dar ni hatari, hii sio adhabu kabisa kwenye nchi iliyostaarabika kama Tanzania naomba matamko haya ya mkuu wa mkoa Dar yatenguliwe haraka sana kabla madhara hayajatokea
N.B Sio kila mwenye gari ana hela