Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Hongera sana Rais wangu Kwa hilo la Wizi wa Mchanga.Nakuomba sana Kwa Uzalendo uliouonyesha hebu Fanya kama alivyofanya Hayati Baba wa Taifa Kutaifisha majumba ya wezi Na kuyaita Msajili wa Majumba.Hawa Watanzania waliofanikisha Tanzania kuibiwa mchanga wa dhahabu wana Mali walizozipata Kwa wizi huo hivyo tunaomba Utaifishe Mali zao ziwe za Umma .