Unafikiri kwa nini aliwakimbia BBC?
Waandishi sio watu wa kuwazoea,,,hii nchi almanusura iangamie kisa uandishi mbovu,,ni hao hao wanaompaaka kikwete usiku na mchana mpaka kustaafu kwake,ni haohao wanaoandika habari za kichochezi kua hazina zmekauka,,ukweli ni kwamba ukiwaZoea sana watakukosea heshima hata kama ww ni raisi,,hebu angalia utawala wa kikwete na mkapa,kikwete anapakwa kama vle ni raia tu wa kawaida,,,,kiti cha urais Tanzania kimekosa heshima kwa miaka Mingi,,,laxma irejeshwe,,,vigezo vya kuteua mawaziri vya nn,mmbo ya Siri ya nchi mnataka mjue,,mwisho mtakuja kudai hadi mjomba wake Anaitwa nan,,na hkuna kipengele ktk KatibA kinachosema achague waziri wa aina gan
waandishi wote wameuliza maswali mazuri kasoro yule wa uhai sijui anaeulizia mambo ya wafanyabiashara kwenye issue ya mawaziri....
Ila majibu ya mh raisi hayakua ya kuridhisha, kama hakuwa kwenye mood ya kujibu maswali ni bora kusema ntatafuta muda mwingine kwa ajiri ya maswali kuliko kujibu kama alivyofanya!!!
all in all amejibu kwa ukali, majivuno na dharau...
Walizoea majibu ya kisiasa ya mkwere
Magufuri hana majibu ya kisiasa yeye ana majibu ya kisayansi tu ahahah waendane na kasi yake
Mimi nadhani na anayeuliza swali alipime kwanza hajalitoa. Maswali yanayoulizwa wakati mwingine hata sisi wasikilizaji tunashangaa!! Pia sio lazima kila mahali uulize swali hata Kama umeruhusiwa. We angalia kilichokupeleka, Pima upepo, jikung'ute baada ya kumaliza endelea na safari yako.
Mhe. Rais Leo alikuwa kikazi zaidi (#HapaKaziTu)
Queen Esther
Nchi hii inataka rais asiyekuwa na dharau kama za magufuri
Smh,ulichokisema hapa ndio kinaleta maana ile ile ,kama Obama anaweza kuulizwa mambo ya nchi yake nchini Tanzania tena na waandishi wa Ulaya na akawajibu kwa ufasaha na bila jazba ,imeshindikana vipi kwa Magufuli kuwajibu waandishi waliokua wanasubiri kufikisha ujumbe kwa wananchi juu ya baraza lililochukua muda kuliunda tukiamini kabisa litakua special, hakukua na sababu ya kupoteza muda kwa hao mawaziri aliowateua hakuna kitu chochote special hapo ,ccm ni ile ile
Hawa hawamjui Presdaa. Fuatilia majibu yake bungeni akiwa waziri. Anajibu kisomi akiamin wote ni waelewaKumbe unaleta uchama basi hutoweza kunielewa
Tunaongelea kuhusu waandishi wa habari so kwa point yako una maanisha wandishi wote pale ni wafuasi wa vyama vya upinzani ndomana kajibu vile
Anyway magufuli si mtu wa kuremba na kutoa majibu ya kisiasa yuko straight
Nadhani ulimsikia alivomjibu yule mwandish alieuluza kuhusu TRA
Suseni biashara idorore..siku hizi bila kuweka habari ya.JPM huuzi habariLeo nimemuona akijibu maswali ya waandishi baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri. Pamoja na kwamba aliitisha maswali ni wazi kwamba alikuwa akiwajibu kavu wale waliouliza pamoja na waulizaji kujitahidi kuuliza maswali ya msingi.
Mtu anauliza umetumia vigezo gani kuwateua hao kuwa mawaziri. Jibu lake ni kuwa kwani nilitumia vigezo gani kumteua Majaliwa kuwa waziri mkuu? Sisi tunajuaje? Toa ufafanuzi mkuu.
Kwa mwendo huu waandishi watasusia mambo ya msingi sana na kumwachia Msigwa kutoa habari zote za Magufuli..
Waandishi wa habari tz sehemu kubwa hawana weledi. Huandika vitu bila utafiti. Na tatzi media haouse nyingi hazina vitengo vya utafiti au hawafundishwi utafiti. Pia waandishi wetu wa habari ni wepesi kwa rushwa na wengi wao siyo constructuve ktk kuuliza maswali. Mh Dr Rais kawajibu vizuri mno nimefurahi sana,Leo nimemuona akijibu maswali ya waandishi baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri. Pamoja na kwamba aliitisha maswali ni wazi kwamba alikuwa akiwajibu kavu wale waliouliza pamoja na waulizaji kujitahidi kuuliza maswali ya msingi.
Mtu anauliza umetumia vigezo gani kuwateua hao kuwa mawaziri. Jibu lake ni kuwa kwani nilitumia vigezo gani kumteua Majaliwa kuwa waziri mkuu? Sisi tunajuaje? Toa ufafanuzi mkuu.
Kwa mwendo huu waandishi watasusia mambo ya msingi sana na kumwachia Msigwa kutoa habari zote za Magufuli..