N'gwanantugwa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 347
- 343
.share imfikie Magufuli...
RAISI MAGUFULI ONYESHA UDIKTETA KWA MASHOGA WAPO C.C.M WAPO UKAWA WAPO KILA SEKTA.
Baada ya uchaguzi uliomwingiza rais wetu Mh.J.P.Magufuli Madarakani,rais alitoahotuba yenye kugusa chamgamoto nyingi zinazolitatiza taifa letu.Ilikuwa na kila kitu kasoro changamoto ya maadili katika jinsia.Rais alionya kuhusu uzembe na uwajibikaji lakin hakuonya tabia za ushoga na usagaji.Hotuba ilionya rushwa na ufisadi lakini haikusisitiza sheria yamakosa ya ushoga na usagaji kuzingatiwa.
Inaweza kudhaniwa ni tatizo dogo ila nikubwa sana kiuhalisia.Jamii hii nihatari nasum kubwa kwenye jamii kuliko wavutabangi walioko vijiweni wakingoja kazi ngumu wakafanye.Sheria iko wazi nikosa kukutwa unajihusisha namapenzi ya jinsia moja,lakinisijui sheria hii ya miaka 10 nakitu jela ishafunga mashoga wangapi mpaka sasa wanavyozidi kujaa mitaani.Mijini mashoga imekuwa sio kosa la jinai tena,mashoga wanajiachia kama wako nchi inayohalarisha ushoga na usagaji.
Nchi za magharibi zinapigana usiku na mchana uozo huu wa maadili usambae dunia nzima.Serikali yetu imewahi kutoa matamko yakutokukubali uhalarishaji wa upuuzi huu lakini hatujaona inachukua hatua kuudhibiti zaidi tunaona wanazidi kuongezeka.Kuanzia kipindi chakampeni mashoga tuliwaona sana mitandaoni wakijinasibu wao ni chama gani ktk vyama vyote vya siasa.Kunawaliokuwa ukawa na waliokuwa C.C.M.
Wote hawakuogopa jela sababu sheria ipo ila haipo.Dunia inajua kuwa mashoga Tanzania wanapatikana wap kibiashara ila Polisi wetu hawajui.
Mitaani Polisi wanatafuta wavuta bangi kutwa hata mara tatu kwa siku sehem moja ila hatuoni oparation hizo katika juhudi za kutokomeza jambo hili.
Sekta zote zimeanza kuathirika na janga hili,walim wapo,wabunge wapo,viongozi wadini wapo,madaktari wapo n.k
Leo vituo vya habari vinaogopa kuonyesha video mtu anavuta bangi ila shoga wanampa interview yakutosha aeleze upuuzi wake na mahakaman hapelekwi.Mvuta bamgi huwa anakamatwa hata akikutwa na harufu lakini shoga linakaa kwenye tv tena kituo akipendacho rais na viongozi wengine linasema linataka kuzaa hatuoni hatua wala msimamo juu ya hilo katika kuonya na kukaripia.
Tunajua raisi wetu ni rais wa wote.Lakini Mashoga wakuzingua kabisa MH. tunaomba jamii yetu uirudishe kwenye misingi.
Wasanii wanaokuza tabia za kishoga niwengi na wanapewa promosheni kubwa duniani ili tuone hizi tabia nikawaida.Wanapata heshima kwa kueneza uchafu katika jamii.Hizi tabia zinachukuliwa za kawaida ili tushindwe kujua yup shoga yupi kavaa kifasheni.Tunaomba utangaze vita kabla adui hajakuwa.
Kunabaadhi ya jamii mitaani kwetu inawaarika kwenye shughuli watu hawa kama vile ni ruksa.Hawanao jamii inabidi tuwabaini na tuwakaripie kimtaa.Hususani kinamama wakiswahili uswahilini wasio naheshima kwa waume zao.
Mh..raisi magufuli,naomba uonyeshe udikteta kwenye hili na wa Afrika tutakubali umelinda na kuhifadhi hadhi na heshima yautamaduniwetu Afrika.
Plate ya maarifa