Ramadhan Rajabu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 578
- 1,105
Albadir inamtafuna mtu pori
mchina hujawahi kuandika comment ndefu namna hii.nini kimekupata? poleZipo siredi kibao na posts humuhumu jF za vilio vya watu kuwa sukari imepanda bei mpaka shilingi 5000 hata 6000 zipo hapa. Ila watu jwa chuki zao binafsi wanajitoa akili. Tatizo nilionalo hapa ni jinsi hii hoja ilivyo wakilishwa kweli kuna wskati sukari ilifikia hiyo bei kwa mujibu wa michango yenu hapa jF nyie ambao leo mwsjitoa akili.
Kweli sukari sasa ni shilingi 2800 wala halipingiki, sasa hii kauli ya alipoingia ina maanisha mwanzo wa utawala wake. Na sote twajua nini kilitokea hapo mwanzo wa utawala wake na kusababisha bei kupanda. Sasa ni wapi kamtaja Kikwete katika hili la sukari mimi napata taabu kidogo, ila kwa wenye hila na nia ya kumfitisha Rais JPM na Mzee Kikwete tayari wameshatia maneno yao ya fitina. Sisi kama taifa tukishindwa kudhibiti chokochoko hizi za fitina za rejareja za aina hii basi tusubiri anguko tu.
Lakini hili la albadir ni suala la kiimani. Na kusemea imani za watu ina kuwa ngumu. Lakini tunaweza kujifunza jambo kuwa chuki iko zaidi upande upi, kwa nini? walipata nini wakati ule? Wanakosa nini wakati huu? Kinacho sababisha chuki za kukiwango hiki ni nini? Nk nk nk.
Mchina wajF.
Na washawasha.
mchina hujawahi kuandika comment ndefu namna hii.nini kimekupata? pole
unapenda kufuatiliwa eeeh! take care. ameongea kwamba wakati anaingia ofisini kg ya sukari ilikuwa Tsh.5000 sijui wewe unaelewaje hapo.Kumbe unanifuatilia humu eeh. Labda msaada wako kwenye hotuba ya leo hapo Arusha Mzee Kikwete kahusishwa vipi na kupanda kwa bei ya sukari?
Mchina wajF.
Na washawasha!
Huoni aibu kumtetea huyu mtu pori
Sikujua tukuo la Leo.Hujasikiliza hotuba yake..??
Mtu anafanya kazi za shamba anaitwa shamba boy,sasa akisema washamba ina maana Mashamba boy ndo wanaoongoza ama?Zitto alisema kuwa nchi wamepewa washamba
Sasa nimeanza kuamini
Did he take his meds before the speech???Anasema Alivyoingia Sukari Ilikuwa 5000 Sasa Hivi Imeshuka na Itaendelea Kushuka Kuweka Kumbukumbu Sawa Sukari Ilikuwa 1600 na Sasa ni 2800
Nilipoingia madaraka sukari ilikuwa inauzwa hadi Tsh 5,000 kwa kilo, lakini sasa imeshuka na itaendelea kushuka zaidi- JPM
Kupata Vichekesho Vingine Kama Hivi Tuma Neno SUKARI Kwenda Namba 15678 !!
CHADEMA Ilishawai Kufukuza Madiwani 5 Na Uchaguzi Wa Marudio Wakashinda Kata Zote UNAKUMBUKA? Siasa Zetu Machalii tunazijua Wenyewe.
Rangi Ya Kijani Mkoani Arusha Imebaki Kwenye Kwenye Miti Na Mbogamboga Tu, Karibu Arusha!!
mr mkiki.
Haj hah jah hha loo umenichekesh mno kwakwelAlbadir at work!huwezi kuongea hivyo ila kwa madhara ya albar tuu
Hakuna aliyesahau namna walivyopiga marufuku uingizaji sukari na kuwatokea puani , leo tunadanganywa ili iweje ?Ha ha ha.. raisi anapodanganya mubashara bila ya chenga..
unapenda kufuatiliwa eeeh! take care. ameongea kwamba wakati anaingia ofisini kg ya sukari ilikuwa Tsh.5000 sijui wewe unaelewaje hapo.
Hakuna aliyesahau namna walivyopiga marufuku uingizaji sukari na kuwatokea puani , leo tunadanganywa ili iweje ?
Hivi umeelewa ulichoandika ?Hivi mlitegemea bei ya sukari iliyo lipiwa ushuru halali iwe sawa na bei ya sukari isiyo lipiwa ushuru kihalali(iliyo ingizwa kiholela)? Au ndio zile akili za hata isipolipiwa ushuru kwangu si tatizo maadam bei ni 1600. Kivuko kikifia katika ya bahari mapoyoyo yanailamu serikali. Mara tu kwisha sahau moja ya habari muhimu cluods fm enzi hizo ilikuwa kuzimika kivuko cha mv alilina.
Mchina wajF.
Na washawasha!