Rais Magufuli ni Nyerere wa pili

Bibi wewe,Nyerere alikunyima nini?Chuki yako kwa Nyerere sio ya kawaida!Uzi wowote wa Nyerere hukosekani!

Chuki iko wapi hapo? Au kusema ukweli ndiyo "chuki"? Mbona niliyoyaandika yapo kwenye records:

TANZANIA’S FOOD PROBLEM
The recurrent failure of Tanzania to feed itself and the consequent necessity to supplement home-grown supplies with imports, which are costly in foreign exchange, have drawn attention to the need for a more systematic appraisal of the conditions needed to avoid future shortages and to provide for the needs of a rapidly growing population. Table I shows the extent to which cereals have been imported in the recent past and the wild fluctuation of imports; it also shows the growth of population.

Soma zaidi: Tanzanian Affairs » 1982 » July
 
Lkn Nyerere
Tangu aondoke Mwalim Julius Kambarage Nyerere watanzania wabaki wanyonge sana.

Misingi aliyoiacha Nyerere ilikosa mtu wa kuiendeleza na kuisimamia ipasavyo.

Zilibaki ngonjera tu. Asante Mungu kutuletea hiki kisu, kifaa cha ukweli Daktari wa falsafa John Pombe Joseph mtoto wa Magufuli. Umevaa viatu vya Nyerere na vimeku fit ipasavyo. Endelea hivyo hivyo.
Lkn Nyerere alikuwa anajuwa aongee nini, wakati gani na kwa akina nani.........
 
Tangu aondoke Mwalim Julius Kambarage Nyerere watanzania wabaki wanyonge sana.

Misingi aliyoiacha Nyerere ilikosa mtu wa kuiendeleza na kuisimamia ipasavyo.

Zilibaki ngonjera tu. Asante Mungu kutuletea hiki kisu, kifaa cha ukweli Daktari wa falsafa John Pombe Joseph mtoto wa Magufuli. Umevaa viatu vya Nyerere na vimeku fit ipasavyo. Endelea hivyo hivyo.
Uvccm mnatia aibu sana magufuri ni daktari wa falsafa tangu lini ....hivi unaakili kweli wewe ...nyerere ndiye alisomea mambo ya falsafa na si magufuri wako acha kumzalilisha mzee wa watu .
01e5418b4a687973336a739102f6f41e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki iko wapi hapo? Au kusema ukweli ndiyo "chuki"? Mbona niliyoyaandika yapo kwenye records:

TANZANIA’S FOOD PROBLEM
The recurrent failure of Tanzania to feed itself and the consequent necessity to supplement home-grown supplies with imports, which are costly in foreign exchange, have drawn attention to the need for a more systematic appraisal of the conditions needed to avoid future shortages and to provide for the needs of a rapidly growing population. Table I shows the extent to which cereals have been imported in the recent past and the wild fluctuation of imports; it also shows the growth of population.

Soma zaidi: Tanzanian Affairs » 1982 » July
kuna zuri lolote unalolihamu kutoka kwa Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere msimfananishe ni watu wa ajabu ajabu, Nyerere alijenga umoja wa kitaifa, huyu mwingine anabomoa umoja wa kitaifa
 
Tangu aondoke Mwalim Julius Kambarage Nyerere watanzania wabaki wanyonge sana.

Misingi aliyoiacha Nyerere ilikosa mtu wa kuiendeleza na kuisimamia ipasavyo.

Zilibaki ngonjera tu. Asante Mungu kutuletea hiki kisu, kifaa cha ukweli Daktari wa falsafa John Pombe Joseph mtoto wa Magufuli. Umevaa viatu vya Nyerere na vimeku fit ipasavyo. Endelea hivyo hivyo.
Sina uhakika kama usemacho ni kweli.
 
Misingi ya Nyerere mbona ilikufa na yeye yupo hai?

Kabla ya kung'atuka kwake tulikuwa hata chakula hatuna, kila kitu foleni. Mabarabara hayapitiki. Ukitaka kwenda Mwanza au Kagera ni lazima upitie Kenya kwanza.

Hivi ulikuwepo wakati huo wa foleni za chakula?
Kwa mara ya kwanza nimekupa like yangu, huyo mtu alikuwa hatari sana ndiyo maana hata huyu kaiga tabia zake na mambo hayaendi kabisa.
 
Hivi una hakika hizi "spichi" za jpm zitatengenezewa japo DVD kisha zikauzwa barabarani na watu kuzinunua?
Hahahah nyie ndio mnasababisha jamaa akiona hizi comment azidi kukasirika maana nae hana uwezo wakuvumilia vitu vidogo kama hivi . Ila kwa zile speech labda kuziedit kwanza maana duh.
 
Hivi unaikumbuka ile kesi ya yule kijana akiyoshitakiwa kwa kosa la kukoment mada ya kipuuzi kama hii?
NYERERE NA MAGUFULI ni kama lila na fila.
Hawaendani katu.
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ambayo kimtazamo na kimaendeleo huwezi watofautisha kati ya wasomi na wenye elimu ya msingi na wakati mwingine msomi hufanana na mtu asiyepata hata elimu ya msingi.
 
Back
Top Bottom