mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Bila kuingilia mambo ya kurudia ayasemayo Rais Mstaafu A. H. Mwinyi ni kweli kwamba mheshiwa Rais amepita kwenye kipindi kigumu sana ambacho mpaka yeye anathubutu kusema Urais ni mgumu sana. Kwanza kitendo cha kupambana na wezi wa kimataifa kupitia madini ambao wanatumia mianya ya uelewa ndogo wa watu wetu kurubuni na kuchota dhahabu na madini mengine ya thamani ambayo mikataba ya kilaghai imefanywa na wanaojifanya ni weledi wa sheria kumbe ndio wanaofanikisha kuibiwa kwetu.
Kitendo cha kushawishi Marais wa East Africa kumwona lulu na kufanya mazungumzo naye mara kwa mara ni zairi kuwa anakubalika sana. Zamani kenya na Rwanda zilitudhalau sana kuona tunakufa njaa wakati nchi ina mali kibao, pia imefikia kuwa sisi hatuna alama ya nchi kama vile madini yetu yanapopatikana nchi za jirani na nchi za nje wakati sisi hatuna faida nayo.
Katika chama chake kitendo cha kuchagua team ya kuchunguza wapi zilipo mali za CCM na kuwaweka wazi watafunaji na kuwataka wazirudishe sio kitendo cha mchezo kwani hawa nchwa wanaweza kukudhuru, hata hivyo tunawasikia kupitia viashiria fulani wakijaribu kuvuruga chama. Haya mambo uwezi kuyahoji kwenye vyama vya upinzani kwani utaambiwa msaliti na mdhandiki.
Kuwafanya waqfanyakazi wapende nchi yao kwanza badala ya kila mwaka kudai kuoongezwa mshahara wakati hakuna kilichozalishwa zaidi. Kipato cha mtanzania kinategemea shughuli mbali mbali za uzalishajim yeye Rais anajidhatiti kuboresha shughuli za kiuchumi ili pesa ikipatikana afanye maboresho. Ukipandisha mshahara wakati wafuta yanaendelea kupanda bei, kila kitu kitapanda tu. Mfano kama akiimarisha Gas nchini na ikatumika ipasavyo, uagizaji wa mafuta ya petroli, na mafuta ya taa utapungua hivyo pesa kubaki nchini.
Rais wetu kila kukicha wazungu wanamtungia takwimu feki kioonyesha uchumi wetu unadorola hata wakati mwingine wananyima msaada au mkopo wakisema tanzania hakuna democrasia. Democrasia ya kupiga kelele tu aileti maendeleo kwani kwenye vyama kwenyewe hakuna democrasia.
Kupambana na Rushwa na ujambazi, ilifikia hatua mtu uwezi kunywa kwenye baa ambayo imefunikwa kwani kagari kako ka mkopo kanaweza kuchukuliw wakati wowote, sasa majambazi hawajulikani wameenda wapi. Vijana matapeli ndio waliokuwa wanasifiwa na ndio wanaipangia serikali nani awe mkuu wa wiraya. kuna kakijana fulani ambako kapo karibu na aliyekuwa rais miaka fulani eti ndiko kanapanga waqkuu waq mikoa na wilaya kufuatana na ushwahiba uliopo. Rushwa ya ngono kupata kazi ilikuwa kiwango cha juu. kupata udereva serikalini ilikuwa na kwa memo sio weledi hadi vijana walikuwa wanaangusha magari ovyo serikali inapata hasara.
Marais na mawaziri ili la kuua njia zote za reli waliliona na kuliachia tuu, hadi barabara zetu tumepotezaq kudi nyingi kwa uharibifu unaofanywa na maroli yenye tairi moja moja ambayo nchi nyingine zilishapigwa marufuku. Mizigo mizito ilipitishwa kwenye barabara zenye viwango duni kutokana na mapatano ya mkandarasim angalau sasa hivi mzigo mzito uwezi kuupitsha kirahisi kama zamani, Mzalendo huyu aliwahi kuzuia mzigo mkubwa kupishwa kwenye barabara zetu akatokea marumbana kati ya waziri na waziri, pia madreva waliwahi kugoma kupinga kupunguzwa uzito.