Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,552
- 6,114
Leo katika uwekaji wa jiwe la ujenzi wa Ikulu ya Chamwino inayosimamiwa na jeshi la kujenga taifa, tumeshuhudia mheshimiwa Rais akiwabagua vijana wa JKT walipo makambini na waliopo kwenye ujenzi.
Mheshimiwa Rais amewaahaidi mambo mazuri vijana 2400 wanaoendelea na ujenzi na kuwatenga wale waliopo kwenye makambi mbalimbali ambao wote wanafanya kazi za kujenga taifa. Kitendo hiki ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine unaoendelea huko kwenye nchi zingine dhidi ya mtu mweusi.
Mheshimiwa Rais, vijana wa JKT ni watoto wako usiwatenge kwa namna yoyote ile kwani wote lengo ni moja kulijenga taifa lisonge mbele hivyo kinapopatikana hata hicho kidogo wape wagawane wataendelea kukukumbuka daima.
Bila shaka na wewe umepita JKT unajua shughuli iliyopo huko makambini. Mimi nimepita 837kj miaka mingi kidogo najua shughuli yake.
View attachment 1463575