Rais Magufuli na ubaguzi dhidi ya vijana wa jeshi la kujenga Taifa (JKT)

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,548
6,102
Leo katika uwekaji wa jiwe la ujenzi wa Ikulu ya Chamwino inayosimamiwa na jeshi la kujenga taifa, tumeshuhudia mheshimiwa Rais akiwabagua vijana wa JKT walipo makambini na waliopo kwenye ujenzi.

Mheshimiwa Rais amewaahaidi mambo mazuri vijana 2400 wanaoendelea na ujenzi na kuwatenga wale waliopo kwenye makambi mbalimbali ambao wote wanafanya kazi za kujenga taifa. Kitendo hiki ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine unaoendelea huko kwenye nchi zingine dhidi ya mtu mweusi.

Mheshimiwa Rais, vijana wa JKT ni watoto wako usiwatenge kwa namna yoyote ile kwani wote lengo ni moja kulijenga taifa lisonge mbele hivyo kinapopatikana hata hicho kidogo wape wagawane wataendelea kukukumbuka daima.

Bila shaka na wewe umepita JKT unajua shughuli iliyopo huko makambini. Mimi nimepita 837kj miaka mingi kidogo najua shughuli yake.

View attachment 1463575
 
Leo katika uwekaji wa jiwe la ujenzi wa Ikulu ya chamwino inayo simamiwa na jeshi la kujenga taifa tumeshuhudia mheshimiwa Rais akiwabagua vijana wa JKT walipo makambini na waliopo kwenye ujenzi.

Mheshimiwa Rais ame wahaidi mambo mazuri vijana 2400 wanao endelea na ujenzi na kuwatenga wale waliopo kwenye makambi mbalimbali ambo wote wanafanya kazi za kujenga taifa. Kitendo hiki ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine unao endelea huko kwenye nchi zingine dhidi ya mtu mweusi.

Mheshimiwa Rais vijana wa JKT ni watoto wako usiwatenge kwa namna yoyote ile kwani wote lengo ni moja kulijenga taifa lisonge mbele hivyo kinapo patikana hata hicho kidogo wape wagawane wataendelea kukukumbuka daima.

Bila shaka na wewe umepita JKT unajua shughuli iliyopo huko makambini. Mimi nimepita 837kj miaka mingi kidogo najua shughuli yake.

Mods naomba msiunganishe huu uzi
Wanao pewa medali ni wale walikwenda vitani. Askari wengine ushalingilia wezao waliotoka vitani. SM wa int hii wao wamejenga ikulu. Wamepewa kitu fulani. Walijenga ukuta wa Mererani wamepata kitu fulani. Uweza kuwapa woteeee
 
Mkuu ni hatari sanaa

Vijana wamekata tamaa kabisa

Hakuna mwanga ni giza tu

Vijana waliomakambini wanawatengeneza kuwa magaidi sio wazendo tena

Huwezi kuwa mzalendo kwa nchi ya kibaguzi namna hii

Inatia huruma

Ajira ni tatizo kubwa la serikali hii ya awamu ya tano

Mkuu haoni shida kabisa
 
Wale walio kuwa wanapewa chochote kitu kipindi cha Kikwete nao walikuwa wanajenga? Na vp kuhusu wale watoto wa kike ambao hawaji kwenye ujenzi?
 
mbinafsi sana. jambo linalomhusu analiona la maana mno ndomana alikimbia korona miezi miwili kwao akawatoa chambo watanzania kwa kuwaambia wachape kazi wakati yeye kajificha. hao jkt wanaomjengea makazi yake ndiyo anawaona wa maana kuliko wengine na amesisitiza kabisa kuwa wawe haohao wasiongezwe wala wasipunguzwe.
 
Wale walio kuwa wanapewa chochote kitu kipindi cha Kikwete nao walikuwa wanajenga? Na vp kuhusu wale watoto wa kike ambao hawaji kwenye ujenzi?
Nani kakuambia kuwa watoto wa kike awapo? Wapo, wanao tibu, wapishi, makarani. Wapo nimewaona
 
Mkuu ni hatari sanaa

Vijana wamekata tamaa kabisa

Hakuna mwanga ni giza tu

Vijana waliomakambini wanawatengeneza kuwa magaidi sio wazendo tena

Huwezi kuwa mzalendo kwa nchi ya kibaguzi namna hii

Inatia huruma

Ajira ni tatizo kubwa la serikali hii ya awamu ya tano

Mkuu haoni shida kabisa
Sijui washauri wake wanamshauri nini huyu bwana.
 
Nani kakuambia kuwa watoto wa kike awapo? Wapo, wanao tibu, wapishi, makarani. Wapo nimewaona
Wewe sijui hata kama unacho kiongea unakijua. Kwa hiyo wewe unacho kiona wanacho fanyiwa hao vijana wa kitanzania ni sahihi kubaguliwa namna hiyo?
 
Ninaumia sana, mpenzi wangu alienda kwenye mafunzo Ya jeshi la kujenga taifa amerudi na mimba na ajira hakuna,amekongoroka na kukondeana hadi namhurumia,siwezi kusema kwamba hiyo mimba ameipatia huko jeshini.. Ni yeye na kijana aliyemharibu ndo wanajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni hatari sanaa

Vijana wamekata tamaa kabisa

Hakuna mwanga ni giza tu

Vijana waliomakambini wanawatengeneza kuwa magaidi sio wazendo tena

Huwezi kuwa mzalendo kwa nchi ya kibaguzi namna hii

Inatia huruma

Ajira ni tatizo kubwa la serikali hii ya awamu ya tano

Mkuu haoni shida kabisa
Ajira ni haba kuna tatizo hapa,tatizo ni mamlaka kupuuza umuhimu wa kulishughulikia tatizo hili.
Kama tungekuwa tuna western democracy kwenye uchaguzi mkuu huu hili ndio issue mmoja muhimu.
Nimesikia Raisi Magufuli hana uwezo wa kuwapa ajira wajenzi 2400 wa JKT wanaojenga Ikulu ya Dodoma. Pesa ya ujenzi anayo lakini pesa ya kuwalipa JKT hana labda wakimaliza awatafutie kazawadi.
 
mbinafsi sana. jambo linalomhusu analiona la maana mno ndomana alikimbia korona miezi miwili kwao akawatoa chambo watanzania kwa kuwaambia wachape kazi wakati yeye kajificha. hao jkt wanaomjengea makazi yake ndiyo anawaona wa maana kuliko wengine na amesisitiza kabisa kuwa wawe haohao wasiongezwe wala wasipunguzwe.
Amewapa nini kwani Mana sijafuatilia tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacho potosha ni kipi kwamba hajasema kuwa asiongezewe wala kupunguziwa vijana zaidi ya wale 2400?
Tatizo lako wewe ni mwizi. Unapenda sana kuongeza. 1000 unaongeza100000 zaidi. Huu ni wizi. Vijana wako 2400. Inaletwa mkate unaongeza zako 100 hili na wewe upate. Wizi
 
Mbona waliojenga mererani na kwingine wameachwa mataa,Hali nao walihaidiwa watachukuliwa wote
 
Back
Top Bottom