kama JPM sio mkabila?basi mbaguzi,kuna watu toka kanda flan wanalia kubaguliwa ,Malinzi ana ukabila. Moja ya tofauti yao.
Then entire Tanzania will have failed completely. Praying for this ndugu? Do you share stakes with majipus?Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.
Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.
Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.
Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.
Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.
Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
Wenyewe ndo wabaguzi..! Uliza harassment walizopata wadada wa kisukuma walioolewa pande hizo walipokuwa wanaonyesha kutomuunga mkono mgombea wa kanda yao.kama JPM sio mkabila?basi mbaguzi,kuna watu toka kanda flan wanalia kubaguliwa ,
Hata Magu ana ubaguzi sana upande wa wapinzani... Rejea hotuba yake kule ZanzibarMalinzi ana ukabila. Moja ya tofauti yao.
Hilo sina uhakika nalojamal malinzi anachukia Maalbino kama vile Manara
Akutukanaye akuchagulii tusi. Kumfananisha JPM na Jamal Malinzi ni tusi kubwa sana.Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.
Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.
Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.
Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.
Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.
Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
Even prayers wont work on this two presidentsThen entire Tanzania will have failed completely. Praying for this ndugu? Do you share stakes with majipus?
Hizo ni predictions zako na sidhani kama kuna ukweli wowote uliongea!Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.
Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.
Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.
Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.
Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.
Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
kama JPM sio mkabila?basi mbaguzi,kuna watu toka kanda flan wanalia kubaguliwa ,
Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.