Rais Magufuli na Rais Jamali Malinzi

Rais Magufuli na Rais Jamali Malinzi

Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.

Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.

Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.

Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.

Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.

Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
Mkuu mleta uzi, JPM hafanani kabisa na Malinzi. Ni kumkosea heshima kumfananisha mtu anayewapa kipaumbele wananchi wake na mtu ambaye alitaka FIFA watume fedha kwenye akaunti yake binafsi ili kodi ikwepwe.
 
Wenyewe ndo wabaguzi..! Uliza harassment walizopata wadada wa kisukuma walioolewa pande hizo walipokuwa wanaonyesha kutomuunga mkono mgombea wa kanda yao.
Tayari na wewe umeonesha ubaguzi, bora uchangie kuliko kutaja kabila fulani.
Miaka hii suala la ubaguzi linaongezeka sana kila kukicha, eeh Mungu tusaidie ili tuepukane na hili
 
Nadhan mm ntakuwa naangalia lakin sioni.. Hebu nieleze magu alichofanya...
1. Mm ni mwanafunz toka ameingia hela za mikopo zimekuwa za torch.. Hata hapa namdai hela ya ipt na inatakiwa atoe wik ijayo ww fuatilia kama itatoka hyo nusu iliyobak wik ijayo watatangaza kama kawaida yao wakitoa kujitapa ila wasipotoa wanakaa kimya kama hawahusik.. (kwanza muongo alisema pesa yenyewe mkopo bado unamcheleweshea mwanafunz lakn tokaameingia haijawah kuwa)
2. Nina kaka yng aliajiriwa mwaka huu june arusha tech wakasitisha ajira akiwa tayar kaka keshaingia kazin na kahamisha had watoto shule na kuacha kaz yake ya awal mpaka sasa jamaa wapo kimya wanatulaghai na wafanyakaz hewa
3. My gal kamaliza chuo mwaka jana na kugraduate january ameshindwa kufanya chochote akijua april ajira zinatoka mara ikawa wongo wakaleta july mara akasimama huyo ubayemsifia akasema two.month wala haitazid mara hii sept ishafka mwez wa 3 na hatujui hatma yake...
4. Mtoto wa mama mkubwa alikuwa anafanya kaz land mark hotel jamaa kabana uchumi hotel imefungwa ile cster karud mtaa mpaka nw analea mtoto wake kwa kuunga...
5. Mama yng anataka kuacha kaz ili afanye utumishi wa Mungu jamaa anataka kutuletea mambo mengne ya fao na sheria za ajab...

Hebu nitajie mema aliyokufanyia ww huyu jamaa labda ni mm tu ndo naumia na mambo yake
Nenda kasome kwanza
 
Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.

Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.

Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.

Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.

Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.

Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
Tumia kichwa kufikiri sio kufuga nywele tu

Yaani sijui hata maswali ya compare and contrast ulikuwa unayaelewa

Hivi rais wa nchi na rais wa mpira wapi na wapi?

Utakuwa zao la BRN sio bure
 
Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.

Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.

Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.

Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.

Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.

Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.
Mwisho wa siku wote wanaitwa marais ingawa kuna mmoja mizizo yake imeenda chini sanaaa zaid ya mwingine.
 
Achana na Malinzi, ni rais wa TFF tafuta ugali wako
Naona sasa utakubaliana na maneno yangu kwamba JPM anaangusha nchi tofaut kubwa kati yao ni kwamba yeye ana kinga ya kutoshtakiwa lakin Malinzi hana.
 
Malinzi ni speculations, hazijathibitishwa. huyu anafanya yanaonekana completely out of rule of law!
 
Back
Top Bottom