Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
we si ccm we unaandika kwa woga ukweli magu 90% ya serikali yake ni kristo

Awe wa dini yeyote hainihusu...cha msingi mimi kwangu ni kuwa mafuta hayajapanda bei...na waliokuwa wanakwepa kodi sasa wanalipa...very soon watoto wetu wataanza.kukalia.madawati....watumishi hewa wanafyekwa..hivyo vingine peleka.kwenye nyumba za ibada fisadi mkubwa we!!!!!
 
Nitakuunga mkono baada ya wewe kuunga mkono ubaguzi wa JPM kwa wanasiasa na wanaharakati wenye mrengo tofauti naye.Usione udini pekee ukasahau uchama! Ubaguzi ni ubaguzi tu! Una hoja japo!
 
Dola la Tanzania sasa limeamua kujijenga....tuondolee figisu figisu zako zakidini...kama huko tayari kaa.kushoto waachie wenzio.wapige kazi.....
 
Post za udini na wadini hawana nafasi kwangu... Can't even waste my time reading all this rubbish! I believe in Merits not Exrimists.

To be fair, andiko la mleta mada limezungumzia kuwepo kwa waislamu wenye "merits" pia. What do you have to say about that?
 
1. Nakumbusha tupo kwenye mchakato wa Mt Julius Kambarage Nyerere; dalili zote zinaelekea kutakuwa na mchakato wa Mt John Pombe Magufuli.

2. Ubaguzi haukuishia kwenye dini na madhehebu tu, sasa tunashuhudia ubagusi wa kisiasa.

Ni hoja nzito ya kuzingatia katika uongozi. Inanishtua nikifikiria labda ni mkakati unaosababisha hata elimu yetu ipo ipo kimagumashi.
 
Na we bado upo tu sheria ya makosa ya mtandao haijakimulika?

Ila ilo sio tusi nadhani, kwa ufahamu wangu,katika kitabu cha Qur'an tukufu, M/mungu anatamka kuwa yoyote ambae si muislam ni kafiri, na kuna sura pia M/mungu anamuambia mtume wake, sema" enyi makafiri, nyinyi MNA dini yenu na Mimi nna Dini yangu, siabudu mnachokiabudu nyinyi, sa sijui katika sheria za nchi labda inaweza ikawa tofauti,
 
Hata JK Japo alikuwa mswahili mlisema hawatendei haki..!!
Hata nchi hii akipewa mfuti bado mtalalamika
 
Tutafika mahali hii nchi itabidi iongozwe na ma-atheists kuepusha mitazamo finyu kama hii.
 
Ingekuwa Ukatoliki ndio kigezo Kasim Majaliwa MWISLAMU asingekuwa waziri mkuu wala Samia Suluhu ambaye ni mwislamu asingekuwa makamu wa Raisi.

Hapa kazi tu haiangaliwi dini ya mtu
Kasimu majaliwa muislam? Mke mkatoliki
 
Sisi tujitahidi tufike mbinguni na si kupambambana kupata madaraka ya dunia hii ambayo haitakuwepo muda si mrefu.
 
Mnaokumbuka baraza la JK na mwinyi hembu tujuzeni mana hao wote walikua ma-raisi waislamu.
Kuna waisilamu ambao wamewekeza sana kwenye imani na kusahau mambo mengine kama elimu kwa watoto wao. Ndugu zangu waislamu wanalifahamu hili na sasa wanajitahidi kupeleka watoto shule ingawa si kwa kasi hiyo. Unakuta mtoto anaenda madrasa mpaka anakua mkubwa,unategemea apate uongozi huyu??
Kiukweli ni kwamba wakristo walioenda shule hapa nchini ni wengi kuliko waisilamu na ndo mana wanapata uongozi sehemu mbali mbali. Ni sawasawa na nzanzibar wanavyotaka tugawane keki ya taifa pasu kwa pasu hilo haliwezekani kutokana na propotional ya wananchi kutofaitiana.
JK alijitahidi sana kuwapa waisilamu uongozi katika kipindi chake lakini bado wakristo walikua wengi.
Tuna mambo ya msingi sana ya kujadili udini,ukabila sio vipaombele vyetu kwa sasa katika nchi yetu.
 
Soma kesi ya Dibagula v Attoney General! Siyo tusi lakini nenohilo lina derogatory connotation! Si vizuri kulitumia kwa mwenzako!
 
HAWA WATU WANA MIHEMUKO YA KISHENZI SANA.
TUANGALIE MFANO HUU HALISI
SASA MAELFU KWA MAELFU YA WAISLAM WAARABU WA SYRIA NA IRAK WANAUAWA KATIKA VITA YA MAGAIDI WALAU WATU 100 KILA WIKI.LAKINI HUWEZI SIKIA MAANDAMANO WALA WALE WAISLAM WANAOSWALI PALE KKO IKIFIKA IJUMAA HAWAANDAMANI BAADA YA SWALA.
NGOJA HAMAS WAWATIBUE MAYAHUDI,NAO WAJIBU WAUE WATU 20 TU,HAO UTAONA WANAMWAGIKA BARABARANI WANAFUNGA BARABARA KULE KKO ETI SOLIDARITY NA WAISLAMU WA PALESTINA.PTUUUUUUUU
 
Nitakuunga mkono baada ya wewe kuunga mkono ubaguzi wa JPM kwa wanasiasa na wanaharakati wenye mrengo tofauti naye.Usione udini pekee ukasahau uchama! Ubaguzi ni ubaguzi tu! Una hoja japo!

Bravo mkuu, wakati wanasiasa wa upinzani wakilalamika walionekana wazushi sasa ni zamu ya malalamiko ya kidini, dhambi ya ubaguzi huwa haiishi hatua moja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…