Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
udini sana yan mpaka nachukia...waziri wa elimu ndo mdini kupindukia
 
udini na dini mkuu ni vitu tofauti
Sasa mkuu.. kuna kosa gani kufahamu imani ya kiongozi wetu .!? nimesema hivyo kwasababu kuna watu wamesema udini kuuliza imani ya kiongozi.
 
Sifa kuu zinazoangaliwa kwenye uteuzi ni uwezo wa mtu kwenye majukumu husika si ukubwa wa Sigda usoni, sura,dini,jinsia wala udogo au ukubwa wa makalio ya mtu.
Una maana wenye sigda hawana '' uwezo kwenye majukumu ''
 
Sasa mkuu.. kuna kosa gani kufahamu imani ya kiongozi wetu .!? nimesema hivyo kwasababu kuna watu wamesema udini kuuliza imani ya kiongozi.
Ni kiongozi wa serikali ambayo haina dini.
 
Kwa sasa kuna mambo muhim ya kitaifa kujadili. Hebu la dini weka pemben kwanza. Au msikitin umekuta mabadiliko namna ya kusali tokana na uwiano huu? au kuna sheria mpya ya uongoz huu mpya imeletwa inaathiri iman yako tuichambue?Kwanza dini zenyewe za kuletewa tu hizi! We jiulize tu TANZANIA UMEIFANYIA/ UNAIFANYIA NINI!
 
Na wengine tunaona jamaa kajaza watu wa kanda ya ziwa, yaani serikali yake imejaa ukanda ,do we need to complain?
 
Hakuna kitu; dini zingine ni hovyo sana!!! nyinyi si ndo kwenye awamu iliyopita mlipigana kufa na kupona kwa kushrikiana na mnikulu kutaka katiba yetu iwe ya dini yenu?? yaani mpaka mkaleta mtafaruko siyo mitaani peke bali hadi wabunge walipigana kisa eti kadhi!!! eti mahakama ya kadhiiiiiii??? huo uchafu upishe mbali na nchi yetu, ni ugaidi tu ndo unasumbua nafsi zenu;nyie watoto wenu mnawashindisha madrasa unategemea nini sasa hapo; hatuna mfumo wa balance bali serikali ya JPM ni ya "Hapa Kazi tu" awamu iliyopita watu walikuwa wanapewa tu wakati hata sifa hawakuwa nazo na ndo maana elimu yetu iligeuka kilaza.
 
Sema kweli japo ukweli unauma( ni miongoni mwa kauli za mtume muhammad (s.a.w) ). Ndugu hakika ya uliyoyabandika ktk uzi wako kuna wenye macho wanaojifanya vipofu kutoona uhalisia wa mambo, bali kuna wenye masikio wanaojifanya kutosikia yanayosemwa, na mbaya zaidi kuna wenye nyoyo ambazo hazizingatii haya yanayoendelea mwishowe ni nn. Bali watambue kuwa bomu wanalolitengeneza likija lipuka hakuna atakayebaki salama.
 
 
Andiko la kijinga sana. Tunataka watanzania wenye uwezo wa kuifanya kazi waliopewa kwa faida ya watanzani basi!!!!!
Jinsia, dini, kanda, kabila tupa kule mbali sana
 
mbona wachaga pamoja na kupotezwa kila uteuzi hatulalamiki?
Hata mm nashangaa kwa nn watu wa kaskazini hatulalamiki Kabisa mkui wangu....jinsi tunavonyooshwa we acha tu...ila wajue tu kuwa kichwa kipo kaskazini...
 
magufuli ni mdini sana kila sehemu amejaza wakristo hakuna kazi wanayofany zaidi ya wizi tu
 
To be fair, andiko la mleta mada limezungumzia kuwepo kwa waislamu wenye "merits" pia. What do you have to say about that?

The problem is that katika sampling yetu during teuzi hakuna strata ya "dini".

Maana yake.ni kuwa hakuna pahala.pameandikwa.hilo...hakuna mwongozo kwa.hilo.

So.hata mimi nina sifa lakini watanzania ni milioni 45 +....why should i xomplain not to be included?

Muda wa siasa umeisha. Tunataka tanzania mpya. Timiza wajibu wako pipe za kuiba mafuta zimefungwa. Kodi mtalipa na.mafuta hayapandi bei babaake...Na tunajenga standard gauge lori zako tafuta nchi ya kuzipeleka. Mjusi kabanwa na mlango...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…