The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,258
- 17,454
Labda Watanzania tumesahau jinsi Gadaffi alivyoungana na Idd Amin kuivamia Tanzania. Kuna Watanzania walipoteza maisha yao kwenye ile vita!!Rais amezungumzia mazuri ya Ghadafi.. Hayo mabaya yake muyazungumze nyinyi..
Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Mkuu una roho ngumuanatoa hayo maagizo hajui kuwa kule yupo chini ya shein cheo chake hakitambuliki kule hizo ndo dalili za uchawara.
Gaddafi was the man sasa waliomuua wamefaidika na nini? Zaidi ya kuharibu nchi na future ya watoto waoNi mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Kuna walibya WALIPOULIZWA Kwanini wanataka Gaddafi aondoke walijibu kuwa wanapenda demokrasia zaid. Wazungu wakasema shwari. Walibya wakasaidiwa kumtoa Gaddafi madarakan, tena kwa aibu kubwa. Kilichofuata ndo kama tunavyoona. Hakuna maendeleo wala demokrasia. Hakuna Uhuru wala fursa. Yaliyobaki ni majuto. Libya imevurugwa
Hivi kweli nimesahau si gadafi mnaemuongelea ndio alituma majeshi kwa dikteta iddy amin dada wa uganda ili atukanfamize wakati wa vita ya kagera? Au labda ni mwingine!!! Nyerere akifufuka hata kwa fakika mbili harafu akawakuta mnapaka rangi kabuli la gadafi any way mi simoHivi wewe ukichukuliwa ukawekwa jela na ukalishwa kila aina ya chakula unachotaka je utafurahia ayo maisha ya kifungoni ( bila uhuru)
View attachment 392762
Tatizo umejibu hoja kishabiki sanaWakati mwingine unaweza kuwa mtu wa aina fulani lakini ukakosa sifa kutokana na kile unachokitetea. Ngabu unahoja dhaifu, hoja ambayo huwa naifananisha na nyimbo za mipasho. Umekuwa mmoja kati ya wenye kuziba macho na kujitia upofu hata pale linapofanywa jambo lililosahihi. Umekuwa na hulka ya kujifanya unajua kila kitu lakini hutambui kuwa hujui. Mwana Africa yoyote asiyetambua kile alichokifanya GADAFI katika uhai wake na kile kinachoendelea baada ya kuondoka kwake Ni muongo na mtu wa kuogopwa
Unafki hausaidii katika kutafuta kilicho cha kweli. Mipasho kama hii haipaswi kuandikwa na wewe. lakini kwa kuwa umekuwa muimbaji wa taarab endelea kutawala jukwaa ipo siku utapata ufalme kama sio umalikia. TANZANIA NI YA KWETU
Walipewa uhuru wakautumia vibaya kutukana na dharau sasa leo wanaongea nini? Nilikuwa simuelewi ngosha sasa naanza kumuelewa hawa watu ukiwapa nafasi wanakupotezea muda wa concentration kama walivyomfanyia jkUtakula huo Uhuru?
Uhuru ndio utajenga barabara na kuhakikisha watoto wote wanaenda shule na kupata elimu bora? Uhuru ndio utaleta madawa hospitalini?
Ingekuwa hivo nchi za kiafrika zisingekuwa hapa kimaendeleo miaka zaidi ya 50 tangia zilipoanza kupata Uhuru.
Nasubiri siku akikohoa wakati akihutubia nione mtakavyosoa!!Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Tharirishwa au dhalilishwa au dharirisha heheheNani aliomba upuuzi uo labda waulize Mimi cha kwanza kwangu ni Uhuru,
Wa kusema
Kutembea
Kutotharirishwa
Mwambie uchara ajipange tunataka democracy
Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Mbona mlimuita JK dhaifu, na worse president ever.Mbona Kikwete alijenga barabara za kutosha kwani udicteta wake hata saa hii unanilisha
We jamaa ni kiazi kweli !!!
Mwambie aachie pesa watu tuludi baa
Kwahiyo tumkubali Gaddafi ili na sisi tuwe kama LibyaKawaulize wananchi wa libya leo hii kati ya Gadafi na sasa kipi kizuri
Achana na hawa jamaa ni waongo balaa wamesahau hapa mwisho libya ndio ilikuwa inaifadhili AU kipesa na kimuongozoKwani hadi Gaddafi anakufa, hizo moroko na Algeria zilikuwa ni tajiri kuliko Libya? Acheni hayo maneno kabisa, maana hata moroko ilikuwa ni nchi ya kifalme na Algeria iliongozwa na rais boutfikra kwa kipindi kirefu...someni historia muelewe
Poor you!Kwa sababu mlikuwa mnadai mtu asiye 'dhaifu'. Shifting goal post haisaidii,pokeeni majibu ya maombi yenu, baptism of fire! Go Magufuli go!
Msitumie kigezo cha ufisadi kutunyima uhuru , siai sio wafanyama bana maana wanyama wanapewa kila kitu ila hawana uhuru, icho ndicho kilichomponza Ghadafi kuzani barabara na hospitaliwa vinaweza kuwa mbadala wa uhuru wa mtuTunampenda rais magufuli,nyinyi mshazoea wizi ndio maana hamumpendi
Sasa kama mtu Role model wake ni Kagame unategemea na yeye atakuwaje?
Moja wapo ya alama ya udiketa ni matamshi ya vitisho kama haya "mtu akikuchezea niambie, haitachukua hata dakika 5"
Huyu ilashaonekana toka anagombea kwake msamiati Demokrasia haupo na haamini kama upo.[/QUOTE chaguo letu wenyewe sijutii Kura yangu kwa Magufuli kweli Ni mtu sahihi