Rais Magufuli na kitabu cha siri

Rais Magufuli na kitabu cha siri

acha porojo fanya kazi, eti kitabu cha siri au ni kama hiki changu cha kuandika nyanya, chumvi......
 
Ni vyema tukajua Rais hafanyi jambo lolote pasipo kuwa na muongozo au watu nyuma yake kumuongozo.

Kitabu cha siri ambacho wanao kiona ni wale tu wenye cheo cha Rais wa jamuhuri wa muungano tu ndio muongozo wa kazi zake za urais.

Wajinga wachache wasiojua kuwa Rais ana muongozo ndio wanao tupotosha.

Zipo siri nzito ambazo mimi na wewe hatuzijui na ni bora tukae kimya maana Rais hajaribu kazi ila anafanya kazi kwa mujibu wa muongozo huo.

Ipo kazi lazima ifanyike chini ya Mh Magufuli. Wengi watalia na kupiga kelele ila kaz lazima ifanyike.

Pole pole Mkuu, usikimbilie sana mambo ya kuita wenzako wajinga. Ulichokiandika hapo juu hakionyeshi kama wewe ni mtu "smart" lakini tunaheshimu mawazo ya kila mtu. Na wewe wapaswa pia kuheshimu mawazo ya wenzako na kuacha kuwaita wajinga.
 
Nafikiri ni miongozo na taratibu za kuwa rais..hiki si kitabu cha siri bali ni mkataba ambao wanaopaswa kuufahamu ni wachache kwa kimombo inaitwa classified
Huo ndio ukweli na ndio maana hawezi kwenda kinyume na cccmm,kwani miongozo imeandaliwa na cccm, walichofanya wenzake ndicho atakachokifanya na yeye hawezi kwenda nje ya muongozo. kama ni mtu makini mwenye akili timamu utagundua mpaka sasa hatatui matatizo ya wananchi bali kutumia mbinu za kuwadanganya wananchi wakipende chama chake kiendelee kutawala, unasababisha tatizo,unalitatua unawaambia tumewasaidia, matatizo yote yamesababishwa na ccmmm na yeye ni mmoja wapo wa waliosababisha. na hawezi kuyaondoa kwani ndio njia ya wao kutawala na watoto wao, wakiyaondoa ndio mwisho wa wao na vizazi vyao kutawala na kuchukua mali za nchi
 
Mleta uzi amefananisha na kitabu cha siri cha marekani ambacho rais pekee anakuwa nacho au anakijua mwanzo mwisho hakuna mwingine! Hicho nadhani hata hapa kipo au kitakuwepo ambapo kina siri zote za nchi kama kambi za majeshi tiss mikataba mikubwa ya siri ya usalama maazimio ya siri ya usalama (muungano wa zbar)..etc...hicho nadhani asichanganye na operation za kila siku za rais hizo info na files zinatoka kwa taasisi zake usalama takukuru na hata media....nimejaribu kuona Mleta uzi alichokuwa anamaanisha!
hicho kitabu ndo kinatumika kusaka sukari iliyofichwa kwenye maghala
 
Kumbe tusilaumu rais yoyote wala kumsifu kumbe ni kitabu cha siri kimemuongoza afanye hayo! Kelli dunia ina mambo!
kwa hiyo Kuapa hadharani kulinda katiba ni geresha kuna viapo vya siri kulinda kitabu cha siri
 
Mleta mada una logic sema hawatakuelewa mapema...
 
"...The function of the imagination is not to make strange things settled, so much as to make settled things strange...."
 
Back
Top Bottom