Serikali kuongeza mapato ni jambo la kheri. Swali ni je, kiwango watakachotozwa wamachinga kitakuwa rafiki na kisichowaumiza zaidi? Utabiri wangu ni kwamba watalia na kusaga meno!Hili ni bomu la kuongeza mapato ya nchi ahahahha
Haijawahi tokea tangu nianze kuijua Tz, serikali ikaweka kiwango rafiki wa wafanyabiashara.Serikali kuongeza mapato ni jambo la kheri. Swali ni je, kiwango watakachotozwa wamachinga kitakuwa rafiki na kisichowaumiza zaidi? Utabiri wangu ni kwamba watalia na kusaga meno!
Kwa sasa wacha washangilie!
Invitation to treat! Nimekupa kitambulisho, are there clearer term for an offer to be implicated/implied? are there clear intention to bind? Mimi sijui, ila Wamachinga /wafanyabiashara mama ntilie muwe macho! We are in a lawlessness society!Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,
Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?
Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treaty ,
Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa
Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"
Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya
Shangilieni
Umeona heeMCHEZO WA DRAFTI NAKUPA UNAKULA YA KWANZA, YA PILI HALAFU MIMI NAKUKULA TATU NAKUINGIA KING
logicMCHEZO WA DRAFTI NAKUPA UNAKULA YA KWANZA, YA PILI HALAFU MIMI NAKUKULA TATU NAKUINGIA KING