kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,153
Ulikuja kwa mbwembwe nyakati za uchaguzi kuomba kura
Tukakunyima kura
Ulikuja kilimanjaro na utaiacha hivi hivi
CCM kupata kura za ushindi kilimanjaro hiyo ni ndoto za alinacha sahau
Hatuipa ccm kura maisha!
Hata ujenge viwanda milioni na ajira milioni moshi ccm haitoshinda abadani asilani
Hatujasahau maneno ya maige mtandao kwamba utawala wa ccm unapambana na wachaga kwa kuwa wamejazana sijui kwenye vitengo
Mbunge nzima anatamka kwamba mnapambana na wachaga.kwa kuwa wamejazana tra na crdb that is shame!
Ccm na moshi wapi na wapi
Tunakuahidi 2020 kutakua hakuna diwani hata mmoja wa ccm kilimanjaro
Na mzee ukumbuke sisi hatupewagi vitenge na kofia maana hatudanganyiki
Wala buku 5 coz hatuna njaa
Watu wa moshi wanajielewa mno huwa hatuhadaiwi na vitenge na kofia
Tutaendelea kuupigia upinzani kura za kutosha
Hatuwezi kuupa utawala wako kura au kuunga mkono kwasababu kuna dalili tosha kuwa unaelekea kwenye udikteta
Tanzania ni yetu sote. tuache ukabila na upendeleo wa kujenga chato tu wakati watanzania hawana dawa
Hatujasahau jinsi mkapa na ccm mlivyoua zao la kahawa kwa maksudi kwa kuleta sumu za kemikali ambayo iliua zao la kahawa moshi na arusha sambaba na kushusha bei hili zao kwa maksudi kisa upinzani kushinda moshi
Ijapokua mkapa alikuja kuomba msamaha ila lile ni pigo kubwa mno
Tunataka tanzania yenye mshikamano na umoja bila ubaguzi wa kikabila unaofanywa na serikali yako
Hatusahau mlivyohamishia chuki kwa matokeo ya shule za msingi miaka ya 90 kwa chuki za kisiasa mkafungia vijana matokeo kwa maksudi
Leo ndo tuipe ccm kura? Tumerogwa
Sisi ni timamu kbs
Ni aibu kwa taifa kuona tumeanza kuleta ukabila kwenye uteuzi na nafasi mbalimbali wakati hii ni nchi yetu sote
Prepared by kimaro
Moshi Tanzania