Rais Magufuli na bandari mwaka wa tatu kaishindwa, Je ataweza kusimamia taifa?

JK alishindwa kusimamia bandari miaka kumi na bado mnamuita Raisi bora sasa hivi, alipoingia bungeni 2016 mkashangilia. Ndo maana huwa tunawakumbusha Mkapa alivyowaita WAPUMBAVU na MALOFA. Kama JPM kashindwa kusimamia bandari peleka madili uliyozoea bandarini sasa hivi ukamuliwe kamasi.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hivi hii ya wake za watu ni kweli?! Nakumbuka kuna wabongo walijiapiza kuwa dk. slaa hafai maana ni mwizi wa wake za watu! Kwa huyu mbona kimya, wako wapi?!
 
Kuhusu bandari mambo mengi mnayoyaona kwenye vyombo vya habari, huwa ni maigizo tu hakuna ujalisia kabisaa. Mengi yanalengwa au kukusudiwa kwa watu wa kiwango Fulani cha uelewa. Mtu anapokuambia kuna vichwa vya train bandarini havina mwenyewe khaaa. Yawezekana anayoyasema hajui akisemacho au yawezekana anakijua vizuri isipokuwa amewadharau sana wasikilizaji wake na kuamini kuwa wana uelewa mdogo sana
 
Tufanye kazi gani???Naomba unisaidie kuzitaja
Kijana shughulisha akili yako sio kuandika na kushinda kwenye mitandao ndio ukajiona mjanja kazi ni nyingi unachagua kazi na kama umesoma uwe mbunifu kazi zipo sio kazi lazima uajiriwe.
 
Huyu hawezi kufanikiwa kwa jambo lolote lile..
Mbona kafanikiwa kwa mengi,kama ulikuwa mwizi wa mali za umma ,vyeti fake pia kama vilikukuta,pita kushoto tuondolee ufyoro hapa,baba yenu yupo Ikulu huko anampongeza Prezdaa kwa mambo makubwa anayoyafanya wee unasema hawezi kufanikiwa
 
JK alishindwa kusimamia bandari miaka kumi na bado mnamuita Raisi bora sasa hivi, alipoingia bungeni 2016 mkashangilia. Ndo maana huwa tunawakumbusha Mkapa alivyowaita WAPUMBAVU na MALOFA. Kama JPM kashindwa kusimamia bandari peleka madili uliyozoea bandarini sasa hivi ukamuliwe kamasi.

Mimi nafikiri baadala ya kushindana ni vizuri hoja zikafanya kazi maana lengo ni kujenga , mfano muanzisha thread anaweza kutuambia kwa nini yeye anasema Mh Magu bandari imemshinda, Je ufanisi wa bandari umeongezeka au kupungua? Je ufanisi wa bandari tunaupimaje? Pia survey ifanyike kwa wateja wanaotumia bandari watuambie ugumu upo wapi na nini kifanyike.. LENGO NI KUJENGA..
 
Mvunja nchi ni mtanzania mwenyewe, fuatilia suala la wizi wa mafuta, mtu alijiunganishia ndipo utajua ni kwa kiasi gani kazi ya urais ilivyo ngumu.

Ni vizuri tukajikita zaidi kwenye kushauri na sio kulaumu, kulalamika na kusifia..

Mfumo pekee ndio utakaoleta ufanisi bandarini, ili bandari yeyote iwe na ufanisi lazima sekta binafsi ichangamke na nchi husika iwe na mzunguko wa kibiashara. Nguvu kubwa sana itumike kuifanya Tanzania iwe hub kibiashara na nchi iwe na mzunguko wa hela na mazingira rahisi ya uwekezaji, hapo kila kitu ikiwemo bandari vitakwenda vizuri..
 
Mtoa thread ni vizuri ukatuambie sababu zinazokufanya uone bandari imemshinda Mh Rais, nafikiri sababu ndio zitaleta mjadala mpana na watu tutaweza kushauri, LENGO NI KUJENGA..
 
Kilcho mpata magufuli ndicho kilimpata nyerere wakati huo anakusudia kutenda mema yeye anaona mbele sana wasaidizi wake wanakwamisha juhudi zake hawezi kufanikiwa labda aamue siku moja awatoe wote asibaki na hata mmoja anayejua mlango wa bandari awalete wapya kutoka huko waanze kazi upya kuchomoa mmoja hakusaidii ile mbegu bado ipo itakuwa kashindwa kama alivyoshindwa nyerere kujenga ujamaa
 
Pongezi kwa raisi wetu kwa sie wenye macho makavu tunajivunia kazi zake ...wabaya wake wana hari MBAYA
 
Ni vizuri tukajikita zaidi kwenye kushauri na sio kulaumu, kulalamika na kusifia..

Mfumo pekee ndio utakaoleta ufanisi bandarini, ili bandari yeyote iwe na ufanisi lazima sekta binafsi ichangamke na nchi husika iwe na mzunguko wa kibiashara. Nguvu kubwa sana itumike kuifanya Tanzania iwe hub kibiashara na nchi iwe na mzunguko wa hela na mazingira rahisi ya uwekezaji, hapo kila kitu ikiwemo bandari vitakwenda vizuri..
You are right, bandari yetu inamhitaji mtu ambaye anao msingi wa kufanya biashara kubwa, mtu ambaye yupo exposed kwenye international economies.
Aliyepo ni mtu mwenye msingi wa ujenzi, ana mipaka ya ujuzi kwenye hali ya ukimataifa wa bandari. Aliyepo hana mvuto wa kuweza kuifanya bandari ikawa na ushindani kulinganisha n wanaotuzunguka.
 
Hilo linatakiwa lionekane mapema na wahusika maana bandari ni moja ya vyanzo vikuu vya uchumi.

Binafsi naona bandari inahitaji iundiwe jopo la watu wenye uzoefu wa biashara za kimataifa na Elimu hiyo ya masuala ya Port business hata ikiwezekana kwa kuhusisha wataalamu wa masuala ya biashara za bandari kutoka nje ili waweke mfumo sawa pale pamoja na kuifanya bandari iwe productive. Ni wakati pia wa watu wetu wa system kufanya kazi yao kwa kuchunguza siri za mafanikio ya bandari za wenzetu na kuja kushauri hapa pia..
 
Mwenyekiti BAVICHA, Katambi: CHADEMA mmeshindwa kusimamia bajeti ya msiba, mtaweza bajeti ya nchi?
Andiko lako limejaa umasikini wa kutisha sana ! Halafu ni nje kabisa ya mada .

Mlipewa tip ya uhalifu wa oilcom na yale mambo ya flow meter , matokeo yake mnamsaka mto taarifa ! Mna akili kweli nyie ?
 
Hilo linatakiwa lionekane mapema na wahusika maana bandari ni moja ya vyanzo vikuu vya uchumi.

Binafsi naona bandari inahitaji iundiwe jopo la watu wenye uzoefu wa biashara za kimataifa na Elimu hiyo ya masuala ya Port business hata ikiwezekana kwa kuhusisha wataalamu wa masuala ya biashara za bandari kutoka nje ili waweke mfumo sawa pale pamoja na kuifanya bandari iwe productive. Ni wakati pia wa watu wetu wa system kufanya kazi yao kwa kuchunguza siri za mafanikio ya bandari za wenzetu na kuja kushauri hapa pia..
Hiyo inaitwa Diplomasia ya uchumi ambayo kwa awamu hii hutoiona abadani.

Uongozi ni kipaji , si push up
 
Back
Top Bottom