Rais Magufuli, mwondoe Waziri Nnauye kabla hajakuharibia

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mimi, kama kada wa muda wa CCM na mtanzania, natoa rai kwako Mhe. Rais John Pombe Joseph Magufuli. Ingawa rai yangu imewahi, naitoa kukulindia heshima ya utendaji wako na sifa zako. Mwondoe Waziri Nape Nnauye.

Waziri Nape ni bingwa wa propaganda. Amelemaa kwa hilo. Kiĺa anachosema au kufanya hulenga kuwagusa na kuwakera wapinzani. Kuwadhibiti na kuwakomesha. Nchi haiendeshwi hivyo.

Anaongea vihoja badala ya hoja. Anaongea kwa kiburi na jeuri. Anajiona yeye ndiye yeye, hakuna mwingine. Akiteleza kimaandishi na kimatamshi hataki kukubali. Ya jana, yatakuharibia Mhe. Rais.

Watanzania hawana viwanja vya wazi kupumzika. Wengi hawana shughuli ya siku nzima. Wamejiajiri wenyewe kufuatilia Bunge moja kwa moja. Kufuatilia siasa. Kufuatilia matunda ya kura zao. Iweje wanyimwe hata haki/ajira yao hiyo ya kikatiba?

TBC1 ni chombo cha kiserikali. Serikali haifanyi biashara. Serikali, kwahiyo, haipati faida wala hasara. Iweje TBC1 ilalamikie gharama? Zile pesa zinazotengwa kwa ajili ya shirika hilo ziko wapi? Kukataza matangazo ya moja kwa moja ni kuwakataza wananchi kujua cha Bungeni. Si sahihi.

Waziri Nape aondolewe. Atakuharibia Rais Magufuli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba)
 
Huyu N..Nauye.....ni kijipu uchungu cha puani...ukamuaji wake unahitaji timing sio mchezo
 
Kwa kujua au kuto kujua, JPJM ndo kamtuma Nape kushughulikia vhyomba vya habari vinavyofanya kazi kinyume cha chama na serikali. Kwa upande wa TBC, hicho ni chombo cha watanzania wavuja jasho na walipakodi. Hata hivyo JPJM amemweka NApe kwa sababu ni mtaalamu wa propaganda na hivyo atasaidia kuweka chama tawala na serikali katika mazingira ambayo kitaendelea kuaminika kwa sababu maovu mengi hayatajulikana.

JPJM hawezi kumuondoa nape kwa sababu amemweka kimkakati zaidi. Sula ni kwamba; mkakati huo ni kwa masilahi ya nani? Tuendelee "kuamini" ni kwa ajili ya Taifa tu na siyo CCM.

Kama kuna udhalimu wowote katika maamuzi yaliyofanyika; kuwanyima watu fursa ya kuona wenyewe kinachojili bungeni, hata hivyo udhalimu huo utafikia mwisho hatimaye!

Mungu ibariki Tanzania
 
hakika Nape hafai kuwa Waziri Wa wizara yeyote. Kwa ujumla hafai aondoke
 
Nape ni hovyo kuliko Juma Nkamia!
 
Yaani mnaamini nape uamuzi kama ule kajiamulia binafsi. Come oooooon, hata kama mna mahaba na Magufuli this is too much. Ulichokiona Jana ni kazi ya Magufuli himself kwa ushauri wa TISS. Believe it or not. Nape ni mbeba ujumbe tuu.

Mara hii mmeshasahau na figisufigisu zilizotokea kwa Dr Tulia Ackson.?
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ila nachelea kukwambia kuwa umeingia chaka,huyo nape hakupelekwa pale kwa bahati mbaya na hilo tukio la jana siyo la bahati mbaya
 
Yaani mnaamini nape uamuzi kama ule kajiamulia binafsi. Come oooooon, hata kama mna mahaba na Magufuli this is too much. Ulichokiona Jana ni kazi ya Magufuli himself kwa ushauri wa TISS. Believe it or not. Nape ni mbeba ujumbe tuu.

Mara hii mmeshasahau na figisufigisu zilizotokea kwa Dr Tulia Ackson.?
Hapo mkuu umesema jambo la point 100%
 
Tupatupa hata kama kamweka kimkakati ni kosa kuweka MTU mbumbumbu namna ile.
MTU anayeshindwa kujua chama cha Mpira wa miguu ambayo ni taasisi kubwa kuliko zote zinazohusiana na wizara take kama ni Association au Federation? Tena mbele ya bunge?
Wizara hiyo no nyeti sana kwani ndio mdomo wa serikali, sasa mdomo unaweza kuponza kichwa
 
Kwa kujua au kuto kujua, JPJM ndo kamtuma Nape kushughulikia vhyomba vya habari vinavyofanya kazi kinyume cha chama na serikali. Kwa upande wa TBC, hicho ni chombo cha watanzania wavuja jasho na walipakodi. Hata hivyo JPJM amemweka NApe kwa sababu ni mtaalamu wa propaganda na hivyo atasaidia kuweka chama tawala na serikali katika mazingira ambayo kitaendelea kuaminika kwa sababu maovu mengi hayatajulikana.

JPJM hawezi kumuondoa nape kwa sababu amemweka kimkakati zaidi. Sula ni kwamba; mkakati huo ni kwa masilahi ya nani? Tuendelee "kuamini" ni kwa ajili ya Taifa tu na siyo CCM.

Kama kuna udhalimu wowote katika maamuzi yaliyofanyika; kuwanyima watu fursa ya kuona wenyewe kinachojili bungeni, hata hivyo udhalimu huo utafikia mwisho hatimaye!

Mungu ibariki Tanzania
Kweli kabisa mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Eti anadai watu hawafanyi kazi kwa kuwa wanaangalia bunge! Hii hoja dhaifu kiasi hiki inatoka kwa waziri? ina maana hizo ofisi wanazofanya kazi hao wafanyakazi wasiotaka kufanya kazi kipindi cha bunge hazina sheria au kanuni za kazi? yaani mkurugenzi au mkuu wa idara hana uwezo wa kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za kazi? Too weak to be an argument. naamini serikali ina sababu zao, hivyo walivyotoa ni visingizio tu.
 
Mimi, kama kada wa muda wa CCM na mtanzania, natoa rai kwako Mhe. Rais John Pombe Joseph Magufuli. Ingawa rai yangu imewahi, naitoa kukulindia heshima ya utendaji wako na sifa zako. Mwondoe Waziri Nape Nnauye.

Waziri Nape ni bingwa wa propaganda. Amelemaa kwa hilo. Kiĺa anachosema au kufanya hulenga kuwagusa na kuwakera wapinzani. Kuwadhibiti na kuwakomesha. Nchi haiendeshwi hivyo.

Anaongea vihoja badala ya hoja. Anaongea kwa kiburi na jeuri. Anajiona yeye ndiye yeye, hakuna mwingine. Akiteleza kimaandishi na kimatamshi hataki kukubali. Ya jana, yatakuharibia Mhe. Rais.

Watanzania hawana viwanja vya wazi kupumzika. Wengi hawana shughuli ya siku nzima. Wamejiajiri wenyewe kufuatilia Bunge moja kwa moja. Kufuatilia siasa. Kufuatilia matunda ya kura zao. Iweje wanyimwe hata haki/ajira yao hiyo ya kikatiba?

TBC1 ni chombo cha kiserikali. Serikali haifanyi biashara. Serikali, kwahiyo, haipati faida wala hasara. Iweje TBC1 ilalamikie gharama? Zile pesa zinazotengwa kwa ajili ya shirika hilo ziko wapi? Kukataza matangazo ya moja kwa moja ni kuwakataza wananchi kujua cha Bungeni. Si sahihi.

Waziri Nape aondolewe. Atakuharibia Rais Magufuli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba)
CCM haina makada wapuuzi wa aina hii..!!
 
Tupatupa hata kama kamweka kimkakati ni kosa kuweka MTU mbumbumbu namna ile.
MTU anayeshindwa kujua chama cha Mpira wa miguu ambayo ni taasisi kubwa kuliko zote zinazohusiana na wizara take kama ni Association au Federation? Tena mbele ya bunge?
Wizara hiyo no nyeti sana kwani ndio mdomo wa serikali, sasa mdomo unaweza kuponza kichwa
Nape kajiaibisha sana
 
Eti anadai watu hawafanyi kazi kwa kuwa wanaangalia bunge! Hii hoja dhaifu kiasi hiki inatoka kwa waziri? ina maana hizo ofisi wanazofanya kazi hao wafanyakazi wasiotaka kufanya kazi kipindi cha bunge hazina sheria au kanuni za kazi? yaani mkurugenzi au mkuu wa idara hana uwezo wa kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za kazi? Too weak to be an argument. naamini serikali ina sababu zao, hivyo walivyotoa ni visingizio tu.
Huo ni mkakati wa serikali kuiokoa ccm (kuwaficha wabunge vihiyo wa kutengenezwa wa ccm)
 
Back
Top Bottom