Rais Magufuli, Mtumbue Muhongo. Anakudanganya!

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Ni huyu muhongo ndiye aliyedanganya kwenye kashfa ya IPTL. Ni huyo huyo Muhongo ametoa kauli nyingi sana ambazo ni tata.

Leo hii Muhongo anawadanganya watanzania kwenye issue ya Dangote, anaenda mbali zaidi Kwa kutemgeneza movie, alikuwa akikusanya watu ambao siyo waajiriwa wa Twiga, Rhino wala Simba Cement akidai wote ni wafanyakazi wa hayo makampuni na wao wanatumia makaa ya mawe ya Kiwira. Hayo makaa ya mawe yanawafikiaje haya makampuni hasa Simba wakati Simba wamejaa makaa ya mawe toka Africa kusini ?

Hili swala la Dangote Ina watu watumishi wanaotaka kunufaika nalo. Kwanza Muhongo amulikwe na watendaji kwenye taasisi za Wizara ya nishafika na madini

Tanzania leo imechafuka mno kwenye uwanja wa kimataifa. Ikionekana kama sehemu hatari Kwa uwekezaji sababu ya muhongo. Kama kweli mheshimiwa Rais unania nzuri ya kujenga viwanda, basi Muhongo ni mmoja wa watu wanao ku sabotage. Muondoe haraka sana. Kauli yake Kwa Dangote siyo kauli ya kiongozi. Kwanza huyu anatuhuma nyingi sana za ufisadi.
 
Juma angekuwa msafi Muhongo angekuwa malaika, lakini aliporudishwa tu kwenye baraza la mawaziri tukajua chupa safi mvinyo ni ileile ya zamani na alishasema hatafukua makaburi kilichobaki kazi kwenu
 
Muhongo aliteuliwa na majipu yake,aliyemteua alimjua kuwa ni mtu mwenye utajiri wa majipu,kwa hiyo hawezi kutumbuliwa kwa kuwa aliye mteua ana nufaika na Muhongo pamoja na majipu yake.
 
He lacks business acumen that is enough of a reason for him to be fired. Muhongo anafaa Kama mshauri wa wanasheria waserikari wakati wanaandaa mikataba ya natural resources na permanent position either as geologist expert TPDC au kupambana na chaki darasani lakini sio kwenye nafasi ya kisiasa kubwa kama waziri.

Kuna pattern inaanza kujionyesha kwa hawa Phd wanaoteuliwa maamuzi yao ni emotional driven and not for social utility.
 
Muhongo na Mwijage, Tanzania ya viwanda anayo tegemea Mtukufu.
Tunasubiri sana. Nimeona mahali Dangote anafungua kiwanda Kenya. Sisi ni vya balaa tuu kumfurahisha mfalme.
Sasa tunachafuka Kimataifa kwamba siyo sehemu salama kwa uwekezaji.
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni mwekezaji kutoka ufaransa, aliwahi kunieleza mengi sana kuhusu muhongo, akahitimisha kuwa hafai na si mtu mwema kwamba ipo siku atalitumbukiza taifa kwenye shimo na itachukua muda sana kuitoa huko! Ni mengi alisema..!!
 
Mh!
 
Muhongo ana matatizo yake lakini unaposema amewahoji watu wasio fanya kazi kwenye viwanda vya cement ni upumbavu uliovuka viwango

Muhongo hawezi kufanya huo ujuha
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..
 
Muhongo na Mwijage, Tanzania ya viwanda anayo tegemea Mtukufu.
Tunasubiri sana. Nimeona mahali Dangote anafungua kiwanda Kenya. Sisi ni vya balaa tuu kumfurahisha mfalme.
Sasa tunachafuka Kimataifa kwamba siyo sehemu salama kwa uwekezaji.
Ukitaka kujua udhaifu wa Muhongo nenda pale Wizarani kwake uone namna alivyovuruga watumishi wake, hawana hamu nae. Ana watu wachache sana anaofanya nao kazi. Ni bingwa wa kupokea na kufanyia kazi majungu. Hili la Dangote, yawezekana kabisa anatumika na wazalishaji wa makaa ya mawe kwa sababu anazozijua yeye. Kweli anamharibia kazi JPM.
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..

nimefanya kazi cement industry ila hiki ulichoandika ni either hujui kitu kuhusu cement au unajifurahisha!!!...........

uwekezaj wa dangote sio wa kitoto ule,,,, uliza experts sio maneno ya vijiwen ya kina mhongo
 
believe me muhongo hana mbadala, mtu kasoma hadi mwisho..!
Naona una ugonjwa hatari sana. Ni Mungu pekee ambaye hana mbadala. Kumbuka hiyo Wizara aliikuta na itaendelea kuwepo. Usitoe lugha hizo kwa vile inanufaika kupitia kwake. Watch out
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..
Kwahiyo lengo ni kumfilisi mbona mnaakili za kijinga hivi lakini
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..
Jifariji tu hivyo hivyo.
 
Huyu Muhongo ni zigo la JPM amelibeba begani na tulimshauri sana alitwae akaendelea kumkumbatia.
 
Ni huyu muhongo ndiye aliyedanganya kwenye kashfa ya IPTL. Ni huyo huyo Muhongo ametoa kauli nyingi sana ambazo ni tata.

Leo hii Muhongo anawadanganya watanzania kwenye issue ya Dangote, anaenda mbali zaidi Kwa kutemgeneza movie, alikuwa akikusanya watu ambao siyo waajiriwa wa Twiga, Rhino wala Simba Cement akidai wote ni wafanyakazi wa hayo makampuni na wao wanatumia makaa ya mawe ya Kiwira. Hayo makaa ya mawe yanawafikiaje haya makampuni hasa Simba wakati Simba wamejaa makaa ya mawe toka Africa kusini ?

Hili swala la Dangote Ina watu watumishi wanaotaka kunufaika nalo. Kwanza Muhongo amulikwe na watendaji kwenye taasisi za Wizara ya nishafika na madini

Tanzania leo imechafuka mno kwenye uwanja wa kimataifa. Ikionekana kama sehemu hatari Kwa uwekezaji sababu ya muhongo. Kama kweli mheshimiwa Rais unania nzuri ya kujenga viwanda, basi Muhongo ni mmoja wa watu wanao ku sabotage. Muondoe haraka sana. Kauli yake Kwa Dangote siyo kauli ya kiongozi. Kwanza huyu anatuhuma nyingi sana za ufisadi.
Kamanda hizi ni chuki binafsi huna lolote. Ama umetumwa na wanufaika fulanifulani. Huna hoja yenye mantiki. Ni matapishi tu haya. No research no right to speak. Nenda kafanye utafiti upate majibu sahihi kuhusu Muhongo.
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..
Watu kama.wewe... Wenye myopia na lack of understanding mnachangia sana kuharibu nchi

Usiropoke kama hujui kitu, we need industrial development na dangote lazima afuate fair play lakini sio kwa mibwabwajo cheap kama huu wako
 
Huyu Waziri kuna kipindi alikuwa anakwaruzana na mfanyabiashara mmoja maarufu. Watu kwa chuki zao kwa yule mfanyabiashara walimtetea huyu waziri na kumponda sana yule tycoon. Leo issue ni Dangote waziri hafai. Ni double standard au unafiki unatusumbua?
 
Back
Top Bottom