Rais Magufuli, Mtumbue Muhongo. Anakudanganya!

Rais Magufuli, Mtumbue Muhongo. Anakudanganya!

tutasubiri sana hivyo viwanda! Jitu linashindwa kutatua mgogoro na dangote linaishia kuwauliza kinafiki wapinzani wake!
 
Awamu hii kwa waziri kutumbuliwa ni kulewa bungeni. Makosa mengine yanabebeka. Acha yachape kazi hata kwa makengeza
 
He lacks business acumen that is enough of a reason for him to be fired. Muhongo anafaa Kama mshauri wa wanasheria waserikari wakati wanaandaa mikataba ya natural resources na permanent position either as geologist expert TPDC au kupambana na chaki darasani lakini sio kwenye nafasi ya kisiasa kubwa kama waziri.

Kuna pattern inaanza kujionyesha kwa hawa Phd wanaoteuliwa maamuzi yao ni emotional driven and not for social utility.
Nakubaliana na wewe on a matamko ya Ndalichako
 
Nakubaliana na wewe on a matamko ya Ndalichako
Yeye na Muhongo lao moja tu kusema makaa ya mawe yanauwezo wa kudumu miaka miambili bila ya kutoa justification ya access zake ni sawa na kutuambia wafugaji wanan'gombe wa kutosha wote tufanye diet ya makange kila siku. Huo ndio uhalisia wenyewe kweli wakati mishahara yetu aimudu bei za nyama kwenye butcher.

To me that was just a shallow and emotional statement wakati biashara ina budget zake.
 
Kamanda hizi ni chuki binafsi huna lolote. Ama umetumwa na wanufaika fulanifulani. Huna hoja yenye mantiki. Ni matapishi tu haya. No research no right to speak. Nenda kafanye utafiti upate majibu sahihi kuhusu Muhongo.


Tupe hiyo research yako, kama huna basi unapiga kelele tu
 
Muhongo aliteuliwa na majipu yake,aliyemteua alimjua kuwa ni mtu mwenye utajiri wa majipu,kwa hiyo hawezi kutumbuliwa kwa kuwa aliye mteua ana nufaika na Muhongo pamoja na majipu yake.
yule lofa ndio yuko behind the scene na ana roho mbaya yule kuliko kiumbe chochote humu duniani
 
Muhongo ana matatizo yake lakini unaposema amewahoji watu wasio fanya kazi kwenye viwanda vya cement ni upumbavu uliovuka viwango

Muhongo hawezi kufanya huo ujuha
Pole naona umepanic balaaa
 
KIWANDA CHA DANGOTE KIMEJENGWA NA MKOPO WA TIB....hatushindwi kukiendesha wenyewe . ....think big people . ..SKY IS NOT A LIMIT . ..I LOVE YOU MAMA TANZANIA . .MY HOME SWEET HOME . ..
Ndoto za wanaccm mlio wengi
 
Vijana wa Ufipa weledi wa Prof. Muhongo unawanyima raha. Binadam tuna chuki za ajabu sana, watumishi wa awamu hii wanaochapa kazi sana kama akina Makonda, Gambo, Muhongo nk nk ndio kutwa kucha mnawashambulia ili waondolewe mpate pa kupumulia et? Mmeula wa chuya, mapovu yenu yatakauka bure na hatumbuliwi mtu. Wengine wanamshambulia Prof. Kisa tu ni Pro mzee Machache.
 
issue ya IPTL yeye alikuwa ndo waziri wa nishati bila kuwajali watz akafanya alivyofanya tusitegemee la maana utoka kwa huyu nguli, hana uzalendo kabisa,bora hii post ya waziri wa nishati angepewa maji marefu.
 
Waziri wa viwanda anatudanganya wa Watanzania kesho yake anajichekesha chekesha ati nilikuwa naficha ukweli oooh huyu bwana anataka gasi ya bure...... Haiingii akilini.... Hata dot moja
Ningekuwa kiongozi wake alafu Niko karibu naye ningemtia Kofi.!ameongea ujinga wa hali ya juu kama sio msomi.
 
Wenye ufinyu mdogo wa uelewa tu ndio wata mulaumu Prof. MHONGO.

Hawa wawekezaji wanataka kutuachia mashimo bila kufaidika na rasilimali zetu.
Kila mtu ana mapungufu yake ila kuhusu malalamiko ya Dangote wala Reginald Mengi; Prof. Mhongo hafaidiki na chochote kama yy ila ni kwa nanufaa ya watanzania.
 
Huyu Waziri kuna kipindi alikuwa anakwaruzana na mfanyabiashara mmoja maarufu. Watu kwa chuki zao kwa yule mfanyabiashara walimtetea huyu waziri na kumponda sana yule tycoon. Leo issue ni Dangote waziri hafai. Ni double standard au unafiki unatusumbua?
Yaani huyu mtu has failed kuwa waziri. Anajifanya matendo kumbe analinda interests kama ilivyokuwa kwenye escrow
 
Serikali ingekuwa inaamini ktk uchawi labda Muhongo angeshitakiwa!
 
Back
Top Bottom