Ni huyu muhongo ndiye aliyedanganya kwenye kashfa ya IPTL. Ni huyo huyo Muhongo ametoa kauli nyingi sana ambazo ni tata.
Leo hii Muhongo anawadanganya watanzania kwenye issue ya Dangote, anaenda mbali zaidi Kwa kutemgeneza movie, alikuwa akikusanya watu ambao siyo waajiriwa wa Twiga, Rhino wala Simba Cement akidai wote ni wafanyakazi wa hayo makampuni na wao wanatumia makaa ya mawe ya Kiwira. Hayo makaa ya mawe yanawafikiaje haya makampuni hasa Simba wakati Simba wamejaa makaa ya mawe toka Africa kusini ?
Hili swala la Dangote Ina watu watumishi wanaotaka kunufaika nalo. Kwanza Muhongo amulikwe na watendaji kwenye taasisi za Wizara ya nishafika na madini
Tanzania leo imechafuka mno kwenye uwanja wa kimataifa. Ikionekana kama sehemu hatari Kwa uwekezaji sababu ya muhongo. Kama kweli mheshimiwa Rais unania nzuri ya kujenga viwanda, basi Muhongo ni mmoja wa watu wanao ku sabotage. Muondoe haraka sana. Kauli yake Kwa Dangote siyo kauli ya kiongozi. Kwanza huyu anatuhuma nyingi sana za ufisadi.