Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

TISS ingekuwa ni taasisi imara huyu jamaa asingemaliza hata mwaka ikulu ni sumu Kali dhidi ya umoja wa kitaifa hili dubwana.
😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷
 
Ni mtu wa hovyo, mpenda sifa, mlevi wa madaraka, roho mbaya, mnafki, mpenda visasi, mchoyo, mzinzi, mpenda kuabudiwa.......mlevi mmoja anasikika hapa kimboka akitoa maoni yake kuhusu kocha wa timu ya green fc
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mumesahau itikad za kenya...Sasa hv unatengenezwa mfumo wa kikabila kama kenya...kisiasa itajenga kundi fulani la kuongoza nchi...kulingana na uwingi wa population ya kabila Hilo au kundi Hilo...mzizi ukikomaa huo watu fulani ndy watakua kete ya ushindi kw uchaguz wwt...
Mbegu hii inatengenezwa strategically ila mfumo wa ubaguz wa kivyama ndy mlango wa kuingilia...tunzeni comment hii...angalieni siasa za kenya....Kalenjini and kikuyu...ndy waliobeba keta ya ushindi huku Mwalimu alipambana na hili...ila sasa itaibuka kwa Kasi strategically!!! Mungu ibarki Nchi hii roho za mgawanyiko zishindwe!!
AMEN AMEN
 
Back
Top Bottom