Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

Kipindi wanashambuliwa wana CCM ,wakipita masokoni ,wanachaniwa nguo na watu wa upinzani wanaochukia wana CCM ,uliwahi kukemea ,tamko la Rais Magufuli limechelewa
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

--
MAONI YANGU

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna Rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.

Ikumbukwe rais nae ni binadamu

Anakosea anateleza na pia ana haki zote

Za kuongea atakacho kama wanadamu wengine

Haina maana kila analoongea rais ni la kuchukulia maanani

Mengine anaongea kama utani na si serious ila mamwera ndio hutumia chance hyo hyo

Kumchafua na kumfanya aonekane mbaguzi

Ninachojua MAGUFULI sio mbaguzi wakati mwingine mchukulie vitu ktk pande mbili
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

--
MAONI YANGU

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna Rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.
Kauli ya Mhe. Rais isitafsiriwe vibaya. Kwa uelewa wangu maana yake Ni haki ya Kikatiba ya kujiunga Na chama au kufuata itikadi uipendayo iheshimiwe.
Hata hivyo Kuna maeneo ambayo wafuasi wa vyama mbalimbali wamekuwa wakinikera Sana. Msiba sio jukwaa la Siasa. Lakini wafuasi hai badala ya kuvaa nguo za maombolezo wanavaa mavazi rasmo kana kwamba wapi kwenye sherehe au mkutano wa siasa. Tuache tabia hii. Msigeuze misiba ya wenzenu kuwa majukwa ya siasa.
 
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.
--
MAONI YANGU
Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?
Tuna Rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.
Tuna Rais mbaguzi sana.
Raisi sio mbaguzi,hakuna siku yeyote mtu mwenye akili timamu kumshambulia kichaa au mwenda wazimu.Mara nyingi watu hulindwa kutokana na madhara ya kiile kisicho na akili.
Mfano,mtu mwenye akili atalindwa kutokana na kichaa,mtu mwenye akili timamu atalindwa kutokana na madhara y
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani.

--
MAONI YANGU

Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa?

Tuna Rais mbaguzi sijawai kuona yaani wakina mawazo mpaka waliuawa na watu kibao wanashambuliwa kisa wamevaa kaki hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tuna Rais mbaguzi sana.

Ulishawahi kuona mtu anasema tutawalinda vichaa wasishambuliwe na watu wenye akili timamu?

Raisi Magufuli anawalinda wenye akili timamu dhidi ya wahuni na vichaa wanaodhani siasa ni vita
Jumapili njema
 
Magufuli ni Rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

Lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu.
Yani unaona kuwagawa watu ni mapungufu madogo? Umoja na mshikamano unatoka wapi kama unawagawa watu kwa itikadi zao? Binadamu sio ng'ombe kwamba unaweza kuwagawa wanaonyonyesha na wasionyonyesha na wasione shida
 
Magufuli ni Rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

Lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu.
Mapenzi ya pengo kuita mwanya,mtu anaropoka kiwango hiki unaita vitu vidogo vidogo
 
Ukabila uingieje wakati yeye kazungumzia CCM. Nyie ndo kila jambo mnalichukulia kikanda something very wrong. Kama hukubaliani na maneno yake usihusishe kablia lake kila mtu na zake mkichwa
Kwa hiyo kuzungumzia ccm hivo penyewe ndo sawa?
 
Mambo mengine ni kumwachia Mungu tu, kuyajadili ni kupoteza muda, uzuri watanzania sio wajinga. Hatugawanyiki kwa kauli za wanasiasa
 
Raisi Magufuli hajui hata dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi nchini ni nini
 
Antenna imeyumba
Magufuli ni Rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

Lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu.
 
Magufuli ni Rais mzuri sana ila vitu vinavyomshushia hadhi ni vidogo vidogo sana

Anakosa utashi sio kama tu kiongozi bali kama gentleman

Lakini namkubali kwa kuwa ana uthubutu kwa mambo makubwa mapungufu yake ni hayo ya kugawa watu.
[/QUOTE
ooh
 
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️⚰️
 
Unajua ukweli ulio wazi kabisa huyu jamaa ana roho mbaya haijalishi natoka nae kanda moja. Mungu saidia tu atoke madarakani kabla hajatugawa na kuwa kama nchi jirani kwa tofauti zetu za kisiasa. Kinachonishangaza ni kwanini anaeneza chuki huku akifahamu hakuna upinzani na mpinzani wake mkuu yuko nje ya nchi baada ya kunusurika kifo
Mungu amesaidia "...huwa hachelewi wala hawai"
 
Back
Top Bottom