Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Siku mtu Fulani akiondoka humu duniani tbl rekodini mauzo yenu hamtaamini.Tujiulize, kwa nini huko nyuma haya hayakuwepo? Lkn utekaji upo au haupo na mbona haongelei majaliwa ya wale ambao hawajaonekana kwa miaka kadhaa sasa.
Je mtu akitekwa kweli na watu wakashuhudia na kwa siku kadhaa asionekane watu wakae kimya tu mbona hii inaturahisishia tujue watekaji ni akina nani.
Watu wengine wanajiweka kwenye mazingira magumu wenyewe kiasi kwamba wakiondoka madarakani hawawi salama. Very hopeless indeed.