Hapo unafyonza dole unajiona umejenga hoja ya maana kumbe ni childish arguments,shame on youWanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.
Mbona na yeye ni mkabila.dhambi hizo,JPM alipinga ukabila ambao uhuru na raila wote wanao
sema lingine maana najua wewe ni anti magufuli na mbaya haubadili, ya bandari yaliisha mkuu hasira mpaka leo?
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
ameshampongeza, lakini cha ajabu hamjapenda!
CCM wakiiba kura 2020 kama alivyofanya Kenyatta hawa Chadema wasianze kulia lia. Wanajiona wajanja kumbe ni majuha haswa.Chadema wachonganishi sana..
Hivi using ur commonsense which is seem not common to you, Uhuru Kenyatta kashinda na kutangazwa jana usiku almost saa 4 usiku.. Sasa Mh. Rais wetu JPM kachelewa nini? Kachelewa wapi kutuma salamu za pongezi? Chadema mna uchochezi mno, shame on you..
Hii tabia ya kutafuta kiki au political gain kwa swala la kijinga kama hili ni upuuzi.. Hivi mnajifanya nyie CDM mko karibu na Kenyatta kuliko Mh. Rais JPM? Acheni ujinga
Acha hizo ,ya kagame...mbona alituma...ndani...ya dakika chacheChadema wachonganishi sana..
Hivi using ur commonsense which is seem not common to you, Uhuru Kenyatta kashinda na kutangazwa jana usiku almost saa 4 usiku.. Sasa Mh. Rais wetu JPM kachelewa nini? Kachelewa wapi kutuma salamu za pongezi? Chadema mna uchochezi mno, shame on you..
Hii tabia ya kutafuta kiki au political gain kwa swala la kijinga kama hili ni upuuzi.. Hivi mnajifanya nyie CDM mko karibu na Kenyatta kuliko Mh. Rais JPM? Acheni ujinga
Sasa hiyo kauli ina utata gani?Mbona Kenya ilipokuwa inakaribia kuingia kwenye uchaguzi, tulisikia kauli tata kutoka kwa JPM kuhusu Kenya?
Siyo kuwa alikuwa akitoa kauli hizo kwa kuwa alikuwa na over confidence kuwa his best "friend" Raila ataingia madarakani?
Refer kauli aliyoitoa hivi karibuni kule Tanga kuwa kama Kenya wakizuia bidhaa zetu za maziwa zisiingie nchini mwao na sisi tutapiga marufuku bidhaa zao zote zisiingie nchini mwetu!
Rais wa mioyo ya watzm
Mamvi ni Rais wa nchi gani?
Watu wakizungumzia mambo ya kitaifa na kimataifa kaa pembeni si size yako
Sasa unataka Magufuli ampongeze Kenyatta mara ngapi?Acha hizo ,ya kagame...mbona alituma...ndani...ya dakika chache
We unampango wa kumchonganisha mtukufu Rais na rafiki take kipenzi.Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa mbuzi wa kafara ulietoroka!! Hao Watanzania unawasemea ni wapi?
....alikwambia???Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yeye MAGU alimuunga mkono MPINZANI???JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Umekunywa viroba wapi?Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015