Aisee umeshapata sindano ya kichaa cha mbwa ndugu?Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Ushindi wa Uhuru ni psychological relief kwa chadema ila ukweli unabaki pale pale, hapa nyumbani JPM anaendeleza "bakora" kwa upinzano mpaka pawe pekundu. Anaendeleza kwa kuhakikisha watanzania tunazidi kumuumga mkono!
Nani?? Lowassa??!!Najua anaumia sana kwa kuhonga pesa zake.
So that is a personal attack...Aisee umeshapata sindano ya kichaa cha mbwa ndugu?
Baba lao ni dj kuhongeka kwa kuiuza chadema kwa bil 10, yaani kauza kila kitu ikiwemo walio ndani ya chadema na yeye mwenyewe.Mzee wa Chato kamhonga uyu
Baba lao ni dj kuhongeka kwa kuiuza chadema kwa bil 10, yaani kauza kila kitu ikiwemo walio ndani ya chadema na yeye mwenyewe.
Kinapumulia mashine, soon kita R.I.P! Maana kila mtu ktk chadema ya dj imebidi ale kinyesi chake!Ahahaha baada ya kukinunua ni nini kimetokea?
Kinapumulia mashine, soon kita R.I.P! Maama kila mtu imebidi ale kinyesi chake!
Hajazuia, kila mtu(mbunge) akitaka kupiga siasa aende kwenye jimbo lake na akodishe media zote zije, akiongea Hai huku dar pia tutamsikia vizuri tu!!Hatari sana, mbona Ngosha anakiogopa hivyo? Kama kinakufa kwanini Ngosha amezui vyama vya siasa kupiga siasa?
Wewe vipi, umetuma !?Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Aisee hii kakwambia lini? Dah UVCCM mna shida sana cjui mmechanganyikiwa?Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana chama cha upinzani hawawezi kuwa na urafiki na chama tawala? Unamaanisha kama itatokea chama cha upinzani rafiki wa chama cha upinzani Tanzania ikija kupata uongozi urafiki unaisha kwasababu kimekuwa chama tawala?. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwaJPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Protocal gani zilimfanya ampongeze Kagame (boss) ndani...ya dakika 20' baada ya.matokeo...kutoka zimefanya hadi...sasa...awe kimyaaaa
Nimesikia Kagame na Museveni tayari weshatuma salaam za pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Vipi kwa upande wa President wetu, mbona ameshikwa na "kigugumizi" kutuma salaàm kwa President mwenzake Uhuru Kenyatta?
Akubali tu kuwa washindanapo wawili ni lazima pawepo mshindi na mshindwa......
Tayari.Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015