Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Status
Not open for further replies.
Kama huwa anaweza kutumbua saa 6 usiku anashindwa nini kumpongeza usiku ule ule? Atoe pongezi huyo best yake ampe waziri wa nishati kama anampenda sanaa!!! Urafiki usiwe ndio msimamo wa nchi hapana!! Wizara mambo Nje mshaurini atume official....kam anasua sua kwenye tweet kama alivyofanya kwa Kagame usiku usiku Ali tweet!! Asituletee mahaba binafsi!!
 
Bavicha bhana, wamepoteza credibility kwa watanzania wanaanza kudandia vitu havina impacts kwao!
Yaani chadema wengi wanashangilia kushinda Kenyatta kuliko hata wakenya wenyewe!! Kuna rafiki yangu mkenya mkikuyu yuko Arusha alinipigia kuniuliza what's wrong with you Tanzanians mbona baa watu wanashangilia sana ushindi wa Kenyatta kuliko hata sisi wakenya wenyewe? Nikamjibu hao ni Chadema. Huwa wako hivyo. Ni watu fulani wajinga fulani hivi kiongozi wao ni lowasa huyo Alikuja kwenu.
 
Kwa niaba ya familia yako Wakenya wamekusikia lakini kwa niaba ya serikali za Tanganyika na Zanzibar wapo wasemaji wake
kupongeza si jambo la lazima na ktk vitu vnavyoweza kutikisa diplomasia mambo ya kupongezana hayapo je Tanzania ulipofanyika uchaguzi marais wa US na nchi nyingne za Ulaya walimpongeza Jpm? je diplomasia yetu imebadilika dhidi yao kwa vile atukupata salamu za pongezi? je uhuru alitumia muda gani kumpongeza JPM achen kujishusha sana kwa Wakenya by the way mkuu alishasema hapangiwi na ukimpangia ndio imekula kwako sasa msimfanye uhuru kukosa salamu za pongezi
 
Nimewapenda Wakenya wanasimamia wanachokiamini,wanajitambua,ni wazalendo kwa nchi yao.Tatizo la Raila aliingia kama mtu binafsi atakaye madaraka na Uhuru aliingia kama mwakilishi wa Taasisi ya Urais!Katoa kauli tata yenye ujumbe mzito baada ya kutangazwa mshindi"HUWEZI CHAGUA JIRANI ila UNAWEZA CHAGUA RAFIKI".Kwenye demokrasia Tanzania hatuna la kuwafundisha Wakenya!Labda kama na wao wataamua kurudi miaka ya 1970!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Subiri utakapokuwa Rais au yule unayemshabikia awe Rais ndo utoe ushauri huu.

Uraisi ni Taasisi siyo mtu, hivyo kuna mambo ya kidiplomasia na kitaifa kabla ya kutoa tamko. Na kumbuka Kenya, siyo tu ni nchi jirani, lakini pia wananchi wake ni marafiki na ndugu zetu. Hivyo, basi katika hali ya kisiasa ni busara kuwa makini na matamko ya kisiasa.

Phillemon Mikael, hivi Rais Magufuli alipewa pongezi na Serikali ya Kenya muda gani baada ya kutangazwa kama mshindi?
 
m
si kwa mapovu hayo.... vp mamvi ashapeleka salamu za pongezi... bavicha mna taabu kweli kweli


Mamvi ni Rais wa nchi gani?

Watu wakizungumzia mambo ya kitaifa na kimataifa kaa pembeni si size yako
 
[QUOTE
"mwengeso, post: 22798611, member: 261462"]Subiri utakapokuwa Rais au yule unayemshabikia awe Rais ndo utoe ushauri huu.

Uraisi ni Taasisi siyo mtu, hivyo kuna mambo ya kidiplomasia na kitaifa kabla ya kutoa tamko. Na kumbuka Kenya, siyo tu ni nchi jirani, lakini pia wananchi wake ni marafiki na ndugu zetu. Hivyo, basi katika hali ya kisiasa ni busara kuwa makini na matamko ya kisiasa.

Phillemon Mikael, hivi Rais Magufuli alipewa pongezi na Serikali ya Kenya muda gani baada ya kutangazwa kama mshindi?[/QUOTE]


🙁
soma tena uzi bila jazba
 
Siku zote ukweli huwa mchungu unapokinzana na mahitaji ya nafsi!Kuna watu tupo kishabiki na siasa tunachukulia kama ushindani wa yanga na simba!Mamlaka zipo zina utaratibu tuziache zifanye kazi.
 
Mamvi ni Rais wa nchi gani?

Watu wakizungumzia mambo ya kitaifa na kimataifa kaa pembeni si size yako
Mbona hamjauliza kwa Nini nchi za magharibi na asia hazijatuma salamu za pongezi haraka? Pia mleta mada tukuulize Kenyatta alimpongeza magufuli haraka aliposhinda uchaguzi?
 

bahima mbona kagame na museven yumo? hapo une mix

hapangiwi huyu, hilo tu
 
Naona Makamanda mnajaribu kupreempty mipango ya JPM..akipongeza mseme tumempreshalaizi mpaka kapongeza,akinyamaza mseme ana bifu na Uhuru...
Hamnaga,jema nyie kama,Waisraeli!
 

dhambi hizo,JPM alipinga ukabila ambao uhuru na raila wote wanao

sema lingine maana najua wewe ni anti magufuli na mbaya haubadili, ya bandari yaliisha mkuu hasira mpaka leo?
 

..afanye hima kumpongeza Uhuru Kenyatta ili kutuondolea AIBU ya tuhuma kwamba alikuwa na upande ktk uchaguzi wa Kenya.

..Pia CDM , CCM,..wana uhuru wa kuchagua vyama rafiki ndani na nje ya nchi na kusaidiana kwa namna mbalimbali.

..CDM kuwaunga mkono Jubilee hakuna tatizo. Kwamba Jubilee ni chama tawala siyo hoja kwasababu ktk uchaguzi wowote kuna uwezekano wa kushinda au kushindwa.

..Katika uchaguzi wa Ghana CDM walimuunga mkono Nana Ado mgombea wa upinzani. Matokeo yalipokuja Nana Ado akatangazwa mshindi.

..Kwa mfano huo wa uchaguzi wa Ghana, utaona kwamba wale wanaosisitiza CDM lazima ishirikiane na vyama vya upinzani tu, hawana hoja.

..Kwenye nchi za wenzetu vyama vya siasa hupokezana madaraka.
 
CCM hatukurupuki, tunafahamu nini tufanye, tumeshaongea na Uhuru kwa njia zingine za mawasiliano, na salaam za pongezi tulishazituma!!

Kwa kuwa nia yako ni kuichonganisha Ikulu ya Tanzania dhidi ya majirani zetu - uchonganishi huo hautafanikiwa - KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 

ccm supports uhuru, iko hivyo waliobadili gia huruma kwao

JPM na odinga ni marafiki hata kabla magu hajawaza kuwa rais


CDM ni watoto, uhuru hatakuja ku support CDM at all!!! CDM washawahi m support odinga hapo zamani


yaani
 
Utumie akili.

Kinachosemwa why achukue muda hivyo kutoa salaam za pongez kwa niaba ya nchi hii?

Why kagame kampa pongezi within seconds tuh?

Ajabu wenzake wa east africa washatoa pongez yeye anasubir nin.

Nan hajui kuwa yeye alikuwa anamsupport odinga swahiba yake?

Aache ufamle ju.ha wake...

Visasi vyake visimpelekee kuharibu diplomasia yetu na watu wa kenya
 
si kwa mapovu hayo.... vp mamvi ashapeleka salamu za pongezi... bavicha mna taabu kweli kweli
Kiongozi anayefikiri yuko sahihi kwa kila limtokalo ajue vinara wa mambo hayo (total authoritatism) Idd Amin, HITLER na Pol Pot walishindwa.
 
isikuumize hii kitu...mbona mpinzani huyohuyo 2015 alimsaidia mtawala, sioni ubaya kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…