Rais Magufuli mkumbuke Pascal Mayalla U-DC Ikungi

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.

Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.

Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
 
Umelala umeamka unakuja kuongea about a man. We ni shogaa. Kwanini mnadai Demokrasia lakkni wenyewe ni anti uhuru wa mtu kusema anayoyaona na kufikiria. How can you stoop so low. So kama wewe unamtetea Lissu, kinachofuata nini akuoe au. Respekt others bitte.

Back
Top Bottom