mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Sababu zote zinazotokea kwa nini mikataba hasa ya rasilimali za Asili kuwa siri zooote kwa sasa duniani zinaonekana hazina mashiko. Makumi ya nchi yanazidi kukubaliana kuziweka wazi. Tena wengine wamefikia hatua kuziweka kwenye mitandao ya serikali ili muda wowote mwananchi aperuzi akiwa na Shaka.
Leo tunashangaa madini hatujui kesho tunashangaa nini.
Tusaidie hilo mkuu wetu, ili taifa liwe informed juu ya mali zake ardhini.
Doc attached kama reference
Leo tunashangaa madini hatujui kesho tunashangaa nini.
Tusaidie hilo mkuu wetu, ili taifa liwe informed juu ya mali zake ardhini.
Doc attached kama reference