shughulisha ubongo wako nawe utanue. Usipoteze muda kusubiri utumbuaji.Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu
Incompetency iko pale pale
Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale
WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Tuwasubiri CDM watakuja na mapyaCcm hawana jipya.
Ni kwamba mmezoea mnaona kawaida!Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu
Incompetency iko pale pale
Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale
WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Ukoo wa Panya.Ccm hawana jipya.
Ukiona hivyo ujue mambo yameanza kunyooka,Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu