Rais Magufuli: Marufuku vikundi vya watu kugawa barakoa. Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako

Hayo ni maagizo aliyoyatoa leo huko Dodoma ndani ya uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwenye mkutano wa CWT.

Asema marufuku kwa vikundi vya watu kugawa barakao na ukikutwa ukamatwe ujibu ulikozitoa pamoja na hayo kama vipi shona ya kwako na unaweza chukua sidiria ya upande mmoja na kuifanya barakoa

Nukuu

Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako, mbona ni rahisi tu, barakoa mbona imekaa kama titi moja la Mtu mmoja hivi limekatwa upande mmoja, weka huku kama... aaah samahani Mh.Waziri nimesema hapa, nilikuwa nachomekea tu kidogo”

Juzi nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kuna group linaitwa Magufuli Forum wala silijui, ila sishangai Mtu kujiita Magufuli hata akijiita fisi ni hiyari yake, lakini walikuwa wanagawa barakoa wala hazijulikani zinatoka wapi, tutaumia kwa kukosa maarifa

Njia nyingine ambayo inaweza kutumika ni kuletewa vifaa vya corona vyenye corona, anapokuletea Mtu barakoa hujui ameitoa wapi kataa, mwambie kavae wewe na Mke wako na Watoto wako nyumbani, tutaumizwa
Bwana Magufuli, kama kweli wazungu hao unaowaita mabeberu wakitaka kukuondoa/kutuondoa kweli wanashindwa? Kwahiyo zuia na dawa zote za MSD maana ni mali za mabeberu! ARVs, TB meds, simu yako, computer yako, etc etc.
Mfano kama target ni wewe si watafanya kama ya Qssem Soleiman wa Iran? na dunia haitajua artillery ilitokea wapi! Hivyo usiwe na hofu hata kidogo na hawa watu. Ni development partners!
 
Hayo ni maagizo aliyoyatoa leo huko Dodoma ndani ya uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwenye mkutano wa CWT.

Asema marufuku kwa vikundi vya watu kugawa barakao na ukikutwa ukamatwe ujibu ulikozitoa pamoja na hayo kama vipi shona ya kwako na unaweza chukua sidiria ya upande mmoja na kuifanya barakoa

Nukuu

Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako, mbona ni rahisi tu, barakoa mbona imekaa kama titi moja la Mtu mmoja hivi limekatwa upande mmoja, weka huku kama... aaah samahani Mh.Waziri nimesema hapa, nilikuwa nachomekea tu kidogo”

Juzi nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kuna group linaitwa Magufuli Forum wala silijui, ila sishangai Mtu kujiita Magufuli hata akijiita fisi ni hiyari yake, lakini walikuwa wanagawa barakoa wala hazijulikani zinatoka wapi, tutaumia kwa kukosa maarifa

Njia nyingine ambayo inaweza kutumika ni kuletewa vifaa vya corona vyenye corona, anapokuletea Mtu barakoa hujui ameitoa wapi kataa, mwambie kavae wewe na Mke wako na Watoto wako nyumbani, tutaumizwa
Umeona mambo ya kienyeji katika kiwango cha juu hapo? Na huyo ndio kiongozi mkuu wa nchi! Mtegemee makubwa awamu ya pili.
 
Huyu mzee akizeeka mara ya pili sijui itakuwaje.

Kama hapo kwa uzee wake bado anatoa pointi hizo..sijui huko mbele.
 
Juzi nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kuna group linaitwa Magufuli Forum wala silijui, ila sishangai Mtu kujiita Magufuli hata akijiita fisi ni hiyari yake, lakini walikuwa wanagawa barakoa wala hazijulikani zinatoka wapi, tutaumia kwa kukosa maarifa!

Hawa jamaa walioanzisha hii Magufuli Scholars Forum nimeshindwa kuwaelewa. Hivi kwa sasa wanasema wanamsupport Magufuli na ni organization. Vipi atakapotoka madarakani....wataendelea Kum support?
Huku ni kujipendekeza kusikokuwa na maana, na nashangaa ikekuwaje Ikulu wameruhusuje hili kufanyika.

Kama hilo halitoshi, wanachama wengi wa hili kundi ni wanfunzi. Kiongozi wao hata siyo mwanafunzi. Kama hiyo haitoshi, vyuoni kuna unions za wanafunzi kila chuo. Kwanini wanafunzi wasimuunge mkono Magufuli kupitia unions zao?

Kama hilo halitoshi, kazi hii ingetakiwa ifanywe na UVCCM na siyo Magufuli Scholars Forum. Ingawa wanasema kwamba hawachangamani na chama lakini so kweli. Hako ni katawi ka CCM. Na muasisi wake ni mwana CCM.

MSF wanatuletea tu mkanganyiko ndani ya UVCCM!!
 
Alichokuwa anaongea lazima usalaama wakipitie sasa wanamuachaje Rais anazungumza hovyo narudia tena wafukuzwe wanamdharirisha Rais kiukweli
Kwamba wafanye edit kichwan kwake au unafikiri hilo alilotamka kuhusu titi na nalo liko kwenye maandishi ya hotuba?
 
Back
Top Bottom