del moe
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 827
- 1,023
Kuna mizigo mingine tikiti maji halifati , Sasa iyo sindilia sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Presidential languageNimekuelewa kaka
NASIKIA SIKU HIZI CORONA YAWEZA ATHIRI UBONGO BILA WEWE KUONYESHA DALILI ZOZOTE ZA KUUMWA, ILA WATU WATAGUNDUA UNAUMWA KUTOKANA NA USEMACHO.Wasaidizi wa Rais wanatakiwa kufukuzwa kazi wanamuachaje anazungumza haya?
Kenya wanaongoza katika hilo swala la kuvaa barakoa za sidiria.
MBONA ANAPENDA SANA SIDIRIA KWANI YA JANETH HAIMTOSHI?Hayo ni maagizo aliyoyatoa leo huko Dodoma ndani ya uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwenye mkutano wa CWT.
Asema marufuku kwa vikundi vya watu kugawa barakao na ukikutwa ukamatwe ujibu ulikozitoa pamoja na hayo kama vipi shona ya kwako na unaweza chukua sidiria ya upande mmoja na kuifanya barakoa
Yani watu aisee hivi mpaka Leo bado hamjamjua raisi Magufuli, always amekua ni mtu wa masikhara sana umesikiliza hotuba? Kuna sehemu kasema "nimechomekea hapo lakini tuendelee kuchukua tahadhari:
Elimu ya vijana wa siku hizi inatiliwa sana mashaka kwa sababu wanashindwa kuelewa na kuchambua mambo mengi yanayo zungumzwa, andikwa au yanayoendelea ulimwenguni.Hayo ni maagizo aliyoyatoa leo huko Dodoma ndani ya uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwenye mkutano wa CWT.
Asema marufuku kwa vikundi vya watu kugawa barakao na ukikutwa ukamatwe ujibu ulikozitoa pamoja na hayo kama vipi shona ya kwako na unaweza chukua sidiria ya upande mmoja na kuifanya barakoa
Mkuu naona umeamua kudili nae....
Mna bidii kweli ya kujaribu kuweka manukato. La kuvunda.........Yani watu aisee hivi mpaka Leo bado hamjamjua raisi Magufuli, always amekua ni mtu wa masikhara sana umesikiliza hotuba? Kuna sehemu kasema "nimechomekea hapo lakini tuendelee kuchukua tahadhari:
Kila kitu ndiooooHilo wazo la sidiria hata mimi nimelipokea, litadumisha ndoa za wengi.
Pamoja na njaa yako lakini, kuna utetezi mwingine yabidi uwe umevaa angalau barakoa ili usitambulike wa wengine. AmenElimu ya vijana wa siku hizi inatiliwa sana mashaka kwa sababu wanashindwa kuelewa na kuchambua mambo mengi yanayo zungumzwa, andikwa au yanayoendelea ulimwenguni.
Usikute wengi walio sikiliza hotuba ya Rais, wameambulia barakoa ya sindilia! Ukiwauliza kuchambua hotuba watakutajia barakoa ya sindilia mwanzo hadi mwisho.
Lakini Kutokana na taaluma ya Rais (mwalimu), hivyo anavyovichomekea, ni kuwafanya watu wa aina hiyo kuendelea kusikiliza huenda mwisho wakaambulia chochote katika hotuba yake.
Nafikiri walimu wanamuelewa.
Dish halina channel zote nzi wa kijani walichagua mgonjwa wa mirembeHayo ni maagizo aliyoyatoa leo huko Dodoma ndani ya uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwenye mkutano wa CWT.
Asema marufuku kwa vikundi vya watu kugawa barakao na ukikutwa ukamatwe ujibu ulikozitoa pamoja na hayo kama vipi shona ya kwako na unaweza chukua sidiria ya upande mmoja na kuifanya barakoa
Nukuu
Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako, mbona ni rahisi tu, barakoa mbona imekaa kama titi moja la Mtu mmoja hivi limekatwa upande mmoja, weka huku kama... aaah samahani Mh.Waziri nimesema hapa, nilikuwa nachomekea tu kidogo”
Juzi nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kuna group linaitwa Magufuli Forum wala silijui, ila sishangai Mtu kujiita Magufuli hata akijiita fisi ni hiyari yake, lakini walikuwa wanagawa barakoa wala hazijulikani zinatoka wapi, tutaumia kwa kukosa maarifa
Njia nyingine ambayo inaweza kutumika ni kuletewa vifaa vya corona vyenye corona, anapokuletea Mtu barakoa hujui ameitoa wapi kataa, mwambie kavae wewe na Mke wako na Watoto wako nyumbani, tutaumizwa
Dish halina channel zote nzi wa kijani walichagua mgonjwa wa mirembe