Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kuongea LIVE kuna muda wa ku-edit...?? Hasa ukizingatia hapangiwi.....Wasaidizi wa Rais wanatakiwa kufukuzwa kazi wanamuachaje anazungumza haya?
Kama ni kujidhalilisha basi ni yeye mwenyewe... si kila asemacho kinaweza haririwa ... only kinachoandikwa tu.. PRESIDENTIAL LANGUAGE NI SHIDAAlichokuwa anaongea lazima usalaama wakipitie sasa wanamuachaje Rais anazungumza hovyo narudia tena wafukuzwe wanamdharirisha Rais kiukweli
Hilo wazo la sidiria hata mimi nimelipokea, litadumisha ndoa za wengi.
Mataga akili zenu haziko sawa. Katika vitu vyote umeona kukata sidiria ndio kutadumisha ndoa? Like how?Hilo wazo la sidiria hata mimi nimelipokea, litadumisha ndoa za wengi.
Kenya wanaongoza katika hilo swala la kuvaa barakoa za sidiria.Kenya jamaa wameiba sana za wake zao na matokeo yake wanawake wamekinukisha balaa
Hii imesababisha ugomvi mkubwa sana
kwamba sidiria wanazovaa mama na dada zako ndio ziwe barakoaNzuri hiyooooo
Mwenyezi Mungu atupiganie sana. Wale waliokuwa wanapata mkate wao kwa kuuza barakoa nawapa poleAibu nimeona mimi
Kuna unachokitafuta
Na nani sasaWasaidizi wa Rais wanatakiwa kufukuzwa kazi wanamuachaje anazungumza haya?