Rais Magufuli, kwanini Nape na sio Bashe?

Kwa kazi waliyoifanya Kinana, Nape na JK kumuweka madarakani Magu, ingekuwa ni rahisi kumuacha Mwakyembe, Makamba, Mwigulu and the like kwenye nafasi ya uwaziri na sio Nape...
 
"Ukiwaona wapinzani wako wanakusifia, jiulize umekosea wapi!" Rais John Pombe Joseph Magufuli.
 
Bashe mbona ni msomali so RAIA mzawa.
Sidhani hata unafikia robo ya uzalendo wa Bashe ukiachilia mbali mchango wake katika taifa hili...bahati mbaya wewe hata kwenye familia yako hauna umuhimu ndio maana hata ukifariki leo ni sawa kufa kwa panya hakuna wa kustuka wala kukuzungumzia
 
Katika watu smart ambao nchi yetu inawahitaji sana, Bashe ni mmoja wapo. Mimi sio CCM and actual sina chama chochote ila namkubali sana huyu jamaa
 
Kama mtu unasahau kuwa anayeteua mawaziri ni rais basi huyo anatakiwa akapimwe! Rais ndiye anayeteua mawaziri, ukitaka Bashe awe waziri basi wewe kuwa rais! Je kuhoji mamlaka halali yaliyotolewa na katibakuna madhara gani kisheria?
kwani nchi hii katiba inafuatwa?
 
Nilipoteza matumaini na awamu ya Tano mapema tu eti nilipoona Rais anasema ametumia muda mwingi kuchekecha na kufanya upembuzi yakinifu wa kupata Mawaziri akaja na jina la Nape,Muongo nilichoka,zaidi Tulia kuwa NS kwa kuteuliwa,Chenge ambaye hujulikana vema wasifa wake ni M/Kiti wa Bunge.
Piga ua tena kwenye uteuzi wa ma RC,uDC,DED nilivunjika moyo na kupoteza imani kabisaa kuwa hakuna jipya ni ileile...mbele kwa mbele..
For sure nchi ya kusadikika ina vitimbwi beyond the scope of the earth.
 
Kwani hujui aliyoyafanya Nape wakati wa kampeni?
 
Katika watu smart ambao nchi yetu inawahitaji sana, Bashe ni mmoja wapo. Mimi sio CCM and actual sina chama chochote ila namkubali sana huyu jamaa
kweli mkuu huyu jamaa ni hazina chama cha kijani..ila wanashindwa kumtumia vizur
 
Nilipoteza matumaini na awamu ya Tano mapema tu eti nilipoona Rais anasema ametumia muda mwingi kuchekecha na kufanya upembuzi yakinifu wa kupata Mawaziri akaja na jina la Nape,Muongo nilichoka,zaidi Tulia kuwa NS kwa kuteuliwa,Chenge ambaye hujulikana vema wasifa wake ni M/Kiti wa Bunge.
Piga ua tena kwenye uteuzi wa ma RC,uDC,DED nilivunjika moyo na kupoteza imani kabisaa kuwa hakuna jipya ni ileile...mbele kwa mbele..
For sure nchi ya kusadikika ina vitimbwi beyond the scope of the earth.
Vipi hukupoteza imani na chadema waliotuaminisha kwa miaka nane kuwa lowasa ni mchafu fisadi na hasafishiki kisha akapewa tiketi ya kugombea urais chadema??au mahaba ya dhati yalikufikia??
 
kweli mkuu huyu jamaa ni hazina chama cha kijani..ila wanashindwa kumtumia vizur
Bashe anajofanya anaikosoa serikali.
Amani iwe juu yenu wakuu,

Nimejaribu kama kuweka comparison juu ya vijana hawa wawili wa CCM.
Ninajiuliza ni kigezo gani rais alichotumia kumchagua Nape kuwa Waziri kamili na kumuacha Bashe bado natafakari. Ikumbukwe Rais Magufuli alichelewa kutangaza baraza lake la mawaziri kwa madai anataka achague watu makini wa kufanya naye, kazi CCM inawabunge zaidi ya 200 hivyo Rais Magufuli alikuwa anachekecha mwenyewe kupata watu makini atakaofanya nao kazi.

Kuna kijana makini huyu ambaye anaitw Hussein Bashe ni moja kati ya mwanasiasa kijana ambaye yuko very smart, kwenye kujenga hoja ubunifu siwezi maliza sifa zake ila kiukweli kwenye masuala ya uongozi amekamilika kwa kweli japo inaweza isiwe 100% the way anavyochangia bungeni na kujenga hoja yupo vizuri CCM inabidi wamwangalie sana, anaweza kuwa hazina kwenye chama chao mbeleni.

Ninachojiuliza hivi kwanini Rais Magufuli hakumuona Bashe na kumuona Nape? wakati ukiwapima watu wawili hawa naona kama Bashe na Nape kuna utofauti mkubwa sana kiuwezo nawaza tu
 
Hachaguliwi sababu anamkosoa
 
Vipi hukupoteza imani na chadema waliotuaminisha kwa miaka nane kuwa lowasa ni mchafu fisadi na hasafishiki kisha akapewa tiketi ya kugombea urais chadema??au mahaba ya dhati yalikufikia??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sikulala usiku na mchana alafu eti unakuja na jina la Nape au unateua makada kwenye nafasi za utendaji au unateua nafasi zimejaa...yaani Season ndiyo Series Ya Kwanza.
Yangu ni macho na masikio inshallah nitaona movies zote panapo majaliwa.
 
Bashe is a good guy.
Lukuvi is a good guy.
Mhongwa may be a good guy.
Nape is a worst mistake in this government.
 
Back
Top Bottom