Rais Magufuli, kwanini Nape na sio Bashe?

Rais Magufuli, kwanini Nape na sio Bashe?

Sidhani hata unafikia robo ya uzalendo wa Bashe ukiachilia mbali mchango wake katika taifa hili...bahati mbaya wewe hata kwenye familia yako hauna umuhimu ndio maana hata ukifariki leo ni sawa kufa kwa panya hakuna wa kustuka wala kukuzungumzia
Hatutaki wakimbizi.Peleka kule somalia wakachinjane huko.Watanzania halisi wapo wengi tu.
 
Acha kumlinganisha nape na vitu vya kawaida huyo unaemtaja labda akawe waziri Somalia
Kweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?
 
Hahahaa....Bashe hanaga zile za kujipendekeza pendekeza kama afanyavyo huyo kada mwingine....Bora abaki hivyohivyo ili awe HURU NA MAWAZO YAKE!!!
Tuulize siye bashe kosa lake mlungula wa Lowassa aliyokuwa anapiga panga wajumbe
 
Kweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?
Bashe ni Mtanzani Mbona Rage na yy ni Msomali wa Tabora na alikuwa Mbunge ? Waache Ubaguzi Mbona wapo wabunge wanaojiita wazawa lakini hawatujali
 
Kweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?
sikulaumu huo ndio mwisho wako wa kudadavua issues..ww bado mgeni jforum..
 
Amani iwe juu yenu wakuu,

Nimejaribu kama kuweka comparison juu ya vijana hawa wawili wa CCM.
Ninajiuliza ni kigezo gani rais alichotumia kumchagua Nape kuwa Waziri kamili na kumuacha Bashe bado natafakari. Ikumbukwe Rais Magufuli alichelewa kutangaza baraza lake la mawaziri kwa madai anataka achague watu makini wa kufanya naye, kazi CCM inawabunge zaidi ya 200 hivyo Rais Magufuli alikuwa anachekecha mwenyewe kupata watu makini atakaofanya nao kazi.

Kuna kijana makini huyu ambaye anaitw Hussein Bashe ni moja kati ya mwanasiasa kijana ambaye yuko very smart, kwenye kujenga hoja ubunifu siwezi maliza sifa zake ila kiukweli kwenye masuala ya uongozi amekamilika kwa kweli japo inaweza isiwe 100% the way anavyochangia bungeni na kujenga hoja yupo vizuri CCM inabidi wamwangalie sana, anaweza kuwa hazina kwenye chama chao mbeleni.

Ninachojiuliza hivi kwanini Rais Magufuli hakumuona Bashe na kumuona Nape? wakati ukiwapima watu wawili hawa naona kama Bashe na Nape kuna utofauti mkubwa sana kiuwezo nawaza tu
Wewe unamuona Bashe na wengine wanamuona Nape,kila mtu anaona anavyona yeye,usitake kulazimisha mambo.Unavyoona wewe si ndivyo ninavyoona mimi
 
Kingereza anajua isipokuwa kaamua kukiendeleza kiswahili kama Rais wa China anavyothamini Lugha Yao .
Wewe ni msemaji wa ile nyumba nyeupe au ni buku 7 ktk kutafuta posho
 
Kwa kazi waliyoifanya Kinana, Nape na JK kumuweka madarakani Magu, ingekuwa ni rahisi kumuacha Mwakyembe, Makamba, Mwigulu and the like kwenye nafasi ya uwaziri na sio Nape...
Goli la mkono
 
Historia inaonyesha ili uwe waziri au cheo chochote cha kuteuliwa huitajiki kuwa na elimu nzuri au uwezo mzuri bali sifa kuu ni uwe mwana Kujipendekeza,muoga,mpiga zumari
 
sikulaumu huo ndio mwisho wako wa kudadavua issues..ww bado mgeni jforum..
Hatuwezi kuongozwa na wageni .Yaan ww unashinda JF na ID fake na ww unataka kusupport wagen watawale nchi hii.Pole sn.Ungejua unaongea na nani wala usingejibu hii message
 
Hahahaa....Bashe hanaga zile za kujipendekeza pendekeza kama afanyavyo huyo kada mwingine....Bora abaki hivyohivyo ili awe HURU NA MAWAZO YAKE!!!
Una uhakika? Alisita tu kuhamia kile chama.
 
Hatuwezi kuongozwa na wageni .Yaan ww unashinda JF na ID fake na ww unataka kusupport wagen watawale nchi hii.Pole sn.Ungejua unaongea na nani wala usingejibu hii message
kwani ww unataka nin? huna lolote acha maigizo mkuu..kama vp kaungane na kina joti..mm sitishwi
 
Back
Top Bottom