Rais Magufuli kwa hili la vitambulisho vya wafanyabiashara litakuangusha

Huku kwetu hadi wauza mchicha wanavikimbilia...

Acheni propaganda za kijinga...
Wanavikimbilia Kwa maana gani!?
Unafikiri wanakimbilia Kwa furaha??
Utakuwa hujasikia tangazo na vitishovinavyotolewa Kwa mtu hasiyekuwa na hicho kichumaurete cha Jiwe.
Kwanza unakamatwa kwa nguvu na kushitakiwa Kwa uhujumu uchumi.
Nafikiri case ya uhujumu uchumi unaijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanatoa jero kwa siku maana yake kwa mwezi 15000, vitambulisho kwa mwaka 20000 na wakipewa hivyo si inamaana hawalipi kodi tena, sasa huoni hapo wamesaidika. Kama wataendelea kulipa ushuru mwingine basi hilo ni janga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza mkuu, nipo mtaa wa Congo nafanya biashara ndogondogo.
Unapokata kitamulisho 20000.
Bado tunalipa ushuru elfu 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu asante kwa mgusia huyo mkuu wa wilaya ya kaliua,jamaa ni mbabe sanaa,labda ni kwa sababu ya anae wateua ni mbabee.

kwenye likizo ya mwisho wa mwaka nilikua wilayani kaliua kwa mapumziko katika kata ya zugimlole.hapo kuna shule mpya ya sekondari ya kata imegengwa na inatarajia funguliwa mwezi huuu.

wakati nikiwa huko ndipo nilihudhuria moja ya mikutano ya mkuu wa wilaya kuhamasisha michango ya ujezi wa shule hiyo.ilikubaliwa tangu mwanzo kua kila kichwa katani hapo kitoe 5000.kutokana na hali za maisha kule watu wengi hawakua wametoa hiyo fedha hali iliyo malazimu yeye mwenyewe mkuu wa wilaya kuja kutisha raia.alito amri kua kila ambaye hakua ameto hiyo fedha baada ya kua 5000 sasa itawalazimu kutoa faini ya 45000 ambapo ukiongeza ile 5000 inakua ni 50000.

na hiyo ilikua ni amri na alinagiza mgombo kukamata wote amabao hawata toa popote pale walipo.kwa akili ya kawaida watu walioshindwa kutoa 5000 wanawezaje kuto 50000?.

kwa mnao jua maisha ya vijijini mkuu wa wilaya anapotoa mri hiyo mnajua nini kinachofutaa.

kumbukeni mkuu wa wilya na mkurugenzi wake ni ile jamii inayotembea kifua mbele awamu hiii wakitamba kua sasa ni wakati wao.

cc,magdalena sakaya.
Safi sana mimi binafsi nafurahi sana jinsi malaika mkuu anayotupelekesha hadi akili iwakae sawa wale wote wajinga wajinga.
 
Huku vimeletwa tofauti, yaani uanaambiwa hadi muuza mihogo, karanga,
Halafu uanaambiwa lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwingine nimesikia tangazo katika gari la halmashauri kwamba usipo kuwa na hicho kinomola hakuna kuingia standi uuze bidhaa yoyote na kama ukitoka kijijini kama huna hicho kinomola basi utalazimika kuwapa wenyeji wa mji wenye kinomola wauze bidhaa zako kwa kuwa wewe hurusiwi kuuza hapo sokoni!.
 
huko wapi mbona hapa mosh watu wanavikimbilia na kupata vya kutosha
Hivi wewe ni mtu au robot? Unaulizaje "wapi huko" wakati mleta maada kataja eneo husika? Halafu, kama Moshi "vinakimbiliwa" ndio iwe ni nchi nzima?
Usikute watu wanajibizana na kibwengo wakidhani mtu.
 
Back
Top Bottom