Rais Magufuli kwa hili la vitambulisho vya wafanyabiashara litakuangusha

Sawa ila ukumbuke huyu mwananchi anakamliwa sana, kwasababu kwenye kila bizaa analipia kodi nayeye ndiye huwa consumer wa mwisho kabisa hivyo wafanya biashara huamua tu wauze shilingi ngapi bizaa ili kufidia kodi zao.
Mkuu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa,mnaposema serikali inatumia vibaya kodi za wananchi ni kodi zipi huwa mnamaanisha if at all hamtaki kulipa kodi? Viva magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna malalamiko mengine mnamuonea huyu mzee, kwani huyo muuza mihogo anagawa bure?si anaingiza kipato baada ya kuweka thamani kwenye mihogo ua bidhaa nyingine?

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
 
HAWA HAPA WANAOTAKIWA KUNUNUA VITAMBULISHO VYA 20,000.
IMG-20190201-WA0030.jpg
 
Nahisi huko wanapovikataa ni kambi ya CHADEMA, wanaokunywa na kuishi maneno ya Mbowe na Tundu lisu
 
Vitambulisho mzee vinanakuangusha, watu wako huku wanawabana wauza mkaa, wachoma mahindi, waziba puncher, wachoma chips, wauza karanga.

Habari ipo hivi, juzijuzi mkuu wa wilaya ya Kaliua alikuja maeneo fulani hivi akasema ameagizwa watu wote wanaojishughulisha na biashara yoyote wachukue vitambulisho kwa shilingi elfu 20,000 na ni lazima, usipochukua usifanye biashara yoyote au ukamatwe.

Mkuu wa wilaya "lazima mchukue vitambulisho kwa kuwa rais anawapenda "
Kama ni kweli rais umeagiza hivyo huku watu wameanza kukushangaa na wameanza kugeuka maadui zako, Maana watu walishangaa kweli nakuanza kuguna.
Huku ni kujichimbia kaburi.
Hiyo style ya Mh DC ina walakini inatakiwa watu waelimishwe kwanza baadae washawishiwe wale watakaokubali watachukua huvyo vitambulisho bila tatizo lkn ukiwalizimisha ni kujenga mazingira hasi ambayo hayatakua na faida kwa yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nna swali dogo tu kwako ivi serekali ina bihashara yoyote je ina mtaji wowote ule na jee serikali inatoa pesa wapi? Kama sio kwa wananchi uyo raisi tu sisi ndo tumemuajiri sasa mnavomsifia inabidi mjiulize sana sisi ndo tuliomuweka hapo alipo
Mkuu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa,mnaposema serikali inatumia vibaya kodi za wananchi ni kodi zipi huwa mnamaanisha if at all hamtaki kulipa kodi? Viva magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitambulisho mzee vinanakuangusha, watu wako huku wanawabana wauza mkaa, wachoma mahindi, waziba puncher, wachoma chips, wauza karanga.

Habari ipo hivi, juzijuzi mkuu wa wilaya ya Kaliua alikuja maeneo fulani hivi akasema ameagizwa watu wote wanaojishughulisha na biashara yoyote wachukue vitambulisho kwa shilingi elfu 20,000 na ni lazima, usipochukua usifanye biashara yoyote au ukamatwe.

Mkuu wa wilaya "lazima mchukue vitambulisho kwa kuwa rais anawapenda "
Kama ni kweli rais umeagiza hivyo huku watu wameanza kukushangaa na wameanza kugeuka maadui zako, Maana watu walishangaa kweli nakuanza kuguna.
Huku ni kujichimbia kaburi.

mkuu asante kwa mgusia huyo mkuu wa wilaya ya kaliua,jamaa ni mbabe sanaa,labda ni kwa sababu ya anae wateua ni mbabee.

kwenye likizo ya mwisho wa mwaka nilikua wilayani kaliua kwa mapumziko katika kata ya zugimlole.hapo kuna shule mpya ya sekondari ya kata imegengwa na inatarajia funguliwa mwezi huuu.

wakati nikiwa huko ndipo nilihudhuria moja ya mikutano ya mkuu wa wilaya kuhamasisha michango ya ujezi wa shule hiyo.ilikubaliwa tangu mwanzo kua kila kichwa katani hapo kitoe 5000.kutokana na hali za maisha kule watu wengi hawakua wametoa hiyo fedha hali iliyo malazimu yeye mwenyewe mkuu wa wilaya kuja kutisha raia.alito amri kua kila ambaye hakua ameto hiyo fedha baada ya kua 5000 sasa itawalazimu kutoa faini ya 45000 ambapo ukiongeza ile 5000 inakua ni 50000.

na hiyo ilikua ni amri na alinagiza mgombo kukamata wote amabao hawata toa popote pale walipo.kwa akili ya kawaida watu walioshindwa kutoa 5000 wanawezaje kuto 50000?.

kwa mnao jua maisha ya vijijini mkuu wa wilaya anapotoa mri hiyo mnajua nini kinachofutaa.

kumbukeni mkuu wa wilya na mkurugenzi wake ni ile jamii inayotembea kifua mbele awamu hiii wakitamba kua sasa ni wakati wao.

cc,magdalena sakaya.
 
Back
Top Bottom