Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

cheupe dawa atakuwepo Kama Waziri wa madini??
 
Aisee Mheshimiwa anapenda kuuza sura kweli....

Nahisi hata vyereheni vinne vikizinduliwa atataka kwenda kuzindua....
 
Hahaha hahaha nimecheka sana yaani ukuta unazunduliwa na rais wa nchi badala ya mkuu wa wilaya ama mkoa?!!! Nchi hii kweli imepatikana
awamu hii atawapoteza wengi hata wale waliowateule ndani ya chama,hachoki anahakikisha kila mradi usomeke umezinduliwa na...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…