Acha uongo. Wakati anamkabidhi jukumu PM alimwambia yeye atakuwa wa mwisho kwenda Kagerampaka asemwe humu jf ndio aende,wahaya mshukuru jf huyo hakuwa na ratiba ya kuja huko
hapo chacha - tuwaone nshomile!Wana jamvi, muda juu nipo ndani ya manispaa ya bukoba. Luna matangazo yanapitishwa kwenye mitaa ya mji huu yakihusisha ujio WA magufuri mjini hapa kesho, na kuhutubia jumatatu kuanzia SAA tano hadi SAA saba.
Lwakatale mbunge wa Bukoba mjinihapo chacha - tuwaone nshomile!
Wayangiro=WahayaWakawasombe wanyambo na wanyayangiro huko hatuna time na mtu
Watatoka tuu na wengine tutawaleta na malori toka Chato, Shinyanga na Mwanza. Pia Diamond, Christian Bella na Saida Karoli tunaweza kuwapandisha jukwaani ili kuwapa burudani la nguvu kupunguza machungu.Wahaya kaeni majumbani kwenu.
Sawa wewe unayejua hadi aliyoyasema, haya tuambie pesa za wahanga wa tetemeko atawapatia?Acha uongo. Wakati anamkabidhi jukumu PM alimwambia yeye atakuwa wa mwisho kwenda Kagera
Umeeleweka vizuri. Kwaheri nshomile! Ngoja tuone nshomile-Watatoka tuu na wengine tutawaleta na malori toka Chato, Shinyanga na Mwanza. Pia Diamond, Christian Bella na Saida Karoli tunaweza kuwapandisha jukwaani ili kuwapa burudani la nguvu kupunguza machungu.
Na pia Lwakatare tunaweza kumuweka ndani kama kuna dalili za watu kutojitokeza kwani atakuwa yeye ndio kawashawishi.
"Sisi" sio wa mchezo mchezo.
Wote ni wahaya, ...Wayangiro=Wahaya