Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

Unakumbuka gwajima alisema kwamba DAB akitumbuliwa watanzania watamgawana na bado hatoshi watanzania tuko more than 35millions
Kwanza hakuna mtumishi anayeitwa Bashite. Je, Bashite ni nani na anafanya kazi katika ofisi ipi?
 
Raisi John Magufuli kesho Ijumaa atapokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma ambayo itawasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki katika ukumbi wa Chimwaga, Dodoma.
View attachment 501849

Naomba Moderator JamiiForums Muwekee Uzi Huu LIVE au NEWS ALERT
Hapa ndipo tutakapoona double standard! Bashite sidhani kama yupo kwenye orodha ya wasio na vyeti
 
Back
Top Bottom