Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Raisi John Magufuli kesho Ijumaa atapokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma ambayo itawasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki katika ukumbi wa Chimwaga, Dodoma.
4080737a-a855-4fff-9a90-dd0d25c829b3.jpg


Naomba Moderator JamiiForums Muwekee Uzi Huu LIVE au NEWS ALERT
 
Raisi John Magufuli kesho Ijumaa atapokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma ambayo itawasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Angellah Kairuki katika ukumbi wa Chimwaga, Dodoma.
Ifanyiwe kazi hiyo ripoti
 
Jambo zuri sana wamefanya, lakini je Bashite naye yumo? kama hayumo ni bora wakahakiki tena ili wajiridhishe and then wapeleke ripoti kamili zaidi!
 
Mh!! Hivi ni sahihi kupokea hii taarifa sehemu kama Chimwaga, ndani ya taasisi ya elimu? Kwanini asipokee taarifa hii ikulu yaani Chamwino?
Hahaha duh!! Watanzania bwana yaani kupinga kila kitu,kwani kuna ubaya gani? Au sheria,kanuni na taratibu za nchi zinamtaka kufanya ivyo?
 
Back
Top Bottom