Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

Sio kwamba hatukuwahi kupata gawiwo,ni kwamba gawiwo tulipata bila show off za namna hii!Awamu hii ni kiki mwanzo mwisho
Kwa nini walikuwa hawasemi kwamba tumepata gawio,ikiwa kila kiongozi anapenda kick kwa kuwa inamsaidia katika harakati zake za kisiasa?Mimi naamini kweli walikuwa wanapata, ila walikuwa hawasemi wamepata kwa kuwa wajanja wachache walikuwa wanazila.Ndio maana nasema watu waliokula pesa hiyo wasakwe na kuwajibishwa.
 
Awamu hii,TRA walikuja na kiki ya kutangaza mapato kila mwezi,awamu zilizopita ulishasikia hizo kiki zaidi ya CAG kukagua na kutoa hesabu za serikali?JPM ameingia 2015,iweje gawio lije 2018?Hizi ni kiki tu,atueleze hizo pesa huko nyuma zilikuwa zinakwenda wapi ili waliohusika tuwafikishe mahakama ya mafisadi!Hautasikia hilo!
 
JPM anafanya mambo mengi mazuri na mimi namfagilia sana,ila nikiri kwamba kuna mambo mengine anaboronga.Kwa mfano katika hili,kwa nini asifukue makaburi na watu wakawajibishwa?What is at stake here.
 
Back
Top Bottom