Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,872
2,000
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo anatarajiwa kupokea Gawio la Serikali la mwaka 2017/2018 kutoka kwa Wakala, Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma 47, ambayo Serikali inamiliki hisa. Tukio hilo litafanyikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar.
Tukio hilo litafanyika baada ya kukamilika kwa Zoezi la kutiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Selander Bridge.
IMG_5275.jpg

Updates:

IMG_5294.jpg
 

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,501
2,000
Sasa mimi nipate tabu ya nini wakati sipo tanzania mi nawaonea huruma mlio baki huko jua linawachoma na jpm anazidi kuwavuruga ubongo
Kisa cha kukimbia ni nini huruma si ujionee wewe mwenyewe mbeba boksi sisi wala hatuna tabu.
 

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
4,759
2,000
Sasa si ukae kimya ya huku tuachie wenyewe wewe endelea na uscientist wako nyumbani kumenoga.
Mimi nimeondoka bongo shida ni hiyo toka magufuli aingie hakuna ajira hakuna hata shughuli za kufanya na mimi siwezi kuwa mchuuzi huo sio wito wangu
 

kijana wa leo

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
2,801
2,000
Sielewi kwanini ujenzi wa hilo daraja?
Kama ni kupendezesha jiji tungeanza kwanza na swala la usafi kwa kila eneo, kuzitunza bustani zote zilizo katikati ya barabara mfano Sam Nujoma, Kwa ajili ya foleni? foleni gani? watu wanga[i?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom