Mke wa mtu ni sumu manka..... Ukiolewa utaelewa!Lakini mwizi wa wake za watu ametumbuliwa
Yule wa Kisarawe alifanya uchunguzi wa kina?, au ni 'ambiwa'Na yeye amesikia tu Mkuu.
Ningeshangaa kama angekurupuka kumwajibisha kwa Taarifa za kusikia bila kufanya uchunguzi Wa kina..
Napenda mnavyotumia majina aya sijui Magonjwamtambuka,Bia Yetu,Stroke nk...Mbona kuna watu wanatabia ya kumtania kwenye mitandao lakini waishia jera?Rais ni binadamu Kama sisi Kuna wakati anajisikia kutia maneno kwa lengo la kuharmonise Hali tu.
Hata waliolengwa na hiyo kauli wenyewe wanajua ule ulikua utani.
Labda alimpigia "Mkewe" simu usiku halafu DAS akaipokea.. Kwa hiyo akapata ushahidi..Yule wa Kisarawe alifanya uchunguzi wa kina?, au ni 'ambiwa'
So Jokate nae ana shida sana ya ajira? Au before U-DC alikuwa mganga njaa?Tatizo letu ni ajira unafikiri ni kuendeleza njaa? mtu ata atukaniwe mama yake mzazi atachekele na kupiga makofi ili mradi anabaki kwenye ajira
Mbona ulipogundua mkeo nilimnunulia utunda ulikasirika?Mimi najua Rais wako alizungumza katika mazingira ya utani tu. Hakumaanisha hivyo
Haujawahi kufanya kibarua kwa wahindi vinginevyo ungejua madhara ya njaa na umasikini, humfanya mtu asijue utu wake.Chonde chonde Rais Magufuli, najua wewe ni vigumu sana kubadilisha kile unachokiamini lakini elewa kuwa sisi sote ni binadamu hivyo kujisitiri na kuwasitiri wenzetu ni jambo la muhimu kweli kweli.
Na hili linachagizwa zaidi na pale unapoamua kuwavua utu hao wasaidizi wako kisha na wao wanafurahia na wengine kwa kupiga makofi kabisa. Kwenye nchi za watu waliostaaribika, waisoendekeza njaa na dhiki kwenye vyeo ungeona tofauti kubwa sana na pengine tabia hii ingekoma mara moja.
Sina shida na wewe kumsema DC wa Kisarawe kuwa anagombea wanaume. Hilo ni lako na yeye na kwa jinsi alivyoonyesha reactions shauri yake! Ni muendelezo uleule wa watu kudhalilishwa na wao badala ya kuonyesha kuchukizwa na udhalilishwaji huo wanaishia kufurahi na kupiga makofi eti kwa kuwa ni Rais kasema. Hii imejenga picha mbaya hata kwa wasaidizi wako na wao kuwadhalilisha wasaidizi wao kimamlaka hadharani.
Shida yangu kubwa ni wewe kumpeleka moja kwa moja mteule wako mpya wa u-DAS kwenye shutuma hizo hizo akiwa hata bado hajaanza kazi. Yani ujumbe wa moja kwa moja uliompa ni kuhusu kugombea wanaume. Hii si sawa hata kidogo.
Kama uliona tatizo hilo lipo kwa DC wa Kisarawe basi ilitosha kabisa kumuonya yeye kama yeye na siyo kumuhusisha na mtu mwingine ambaye kimsingi ndiyo kwanza anaanza majukumu mapya.
Rais, kumbuka kuwa kwa sasa kuna teknolojia pana ya utafutaji taarifa na inamilikiwa na watu wengi sana. Matamshi yako yatadumu kusikilizwa kwa vizazi vingi vijavyo hivyo inakupasa kuwa na uangalifu mkubwa.
Aidha, Jokate kimsingi amepewa hati chafu na huenda sasa hata afanye nini bado ataonekana ana sifa mbaya ya kugombea wanaume ofisini. Hii ni sifa mbaya na ya mwisho kwa mwanamke! Mbaya zaidi imetolewa na Rais tena hadharani.
inategemea Mkulu kaamkaje! akiamka vibaya umekwisha!!Yule wa Kisarawe alifanya uchunguzi wa kina?, au ni 'ambiwa'
Kiswahili ni lugha pana sana kumbe, hadi kushindwa kueleweka kirahisi namna hiyo!Chonde chonde Rais Magufuli, najua wewe ni vigumu sana kubadilisha kile unachokiamini lakini elewa kuwa sisi sote ni binadamu hivyo kujisitiri na kuwasitiri wenzetu ni jambo la muhimu kweli kweli.
Na hili linachagizwa zaidi na pale unapoamua kuwavua utu hao wasaidizi wako kisha na wao wanafurahia na wengine kwa kupiga makofi kabisa. Kwenye nchi za watu waliostaaribika, waisoendekeza njaa na dhiki kwenye vyeo ungeona tofauti kubwa sana na pengine tabia hii ingekoma mara moja.
Sina shida na wewe kumsema DC wa Kisarawe kuwa anagombea wanaume. Hilo ni lako na yeye na kwa jinsi alivyoonyesha reactions shauri yake! Ni muendelezo uleule wa watu kudhalilishwa na wao badala ya kuonyesha kuchukizwa na udhalilishwaji huo wanaishia kufurahi na kupiga makofi eti kwa kuwa ni Rais kasema. Hii imejenga picha mbaya hata kwa wasaidizi wako na wao kuwadhalilisha wasaidizi wao kimamlaka hadharani.
Shida yangu kubwa ni wewe kumpeleka moja kwa moja mteule wako mpya wa u-DAS kwenye shutuma hizo hizo akiwa hata bado hajaanza kazi. Yani ujumbe wa moja kwa moja uliompa ni kuhusu kugombea wanaume. Hii si sawa hata kidogo.
Kama uliona tatizo hilo lipo kwa DC wa Kisarawe basi ilitosha kabisa kumuonya yeye kama yeye na siyo kumuhusisha na mtu mwingine ambaye kimsingi ndiyo kwanza anaanza majukumu mapya.
Rais, kumbuka kuwa kwa sasa kuna teknolojia pana ya utafutaji taarifa na inamilikiwa na watu wengi sana. Matamshi yako yatadumu kusikilizwa kwa vizazi vingi vijavyo hivyo inakupasa kuwa na uangalifu mkubwa.
Aidha, Jokate kimsingi amepewa hati chafu na huenda sasa hata afanye nini bado ataonekana ana sifa mbaya ya kugombea wanaume ofisini. Hii ni sifa mbaya na ya mwisho kwa mwanamke! Mbaya zaidi imetolewa na Rais tena hadharani.
Unfortunately jamii ishatoa hukumu long time ago kwamba Jokate no matter what she does,she will always be seen a golddiging politician!Chonde chonde Rais Magufuli, najua wewe ni vigumu sana kubadilisha kile unachokiamini lakini elewa kuwa sisi sote ni binadamu hivyo kujisitiri na kuwasitiri wenzetu ni jambo la muhimu kweli kweli.
Na hili linachagizwa zaidi na pale unapoamua kuwavua utu hao wasaidizi wako kisha na wao wanafurahia na wengine kwa kupiga makofi kabisa. Kwenye nchi za watu waliostaaribika, waisoendekeza njaa na dhiki kwenye vyeo ungeona tofauti kubwa sana na pengine tabia hii ingekoma mara moja.
Sina shida na wewe kumsema DC wa Kisarawe kuwa anagombea wanaume. Hilo ni lako na yeye na kwa jinsi alivyoonyesha reactions shauri yake! Ni muendelezo uleule wa watu kudhalilishwa na wao badala ya kuonyesha kuchukizwa na udhalilishwaji huo wanaishia kufurahi na kupiga makofi eti kwa kuwa ni Rais kasema. Hii imejenga picha mbaya hata kwa wasaidizi wako na wao kuwadhalilisha wasaidizi wao kimamlaka hadharani.
Shida yangu kubwa ni wewe kumpeleka moja kwa moja mteule wako mpya wa u-DAS kwenye shutuma hizo hizo akiwa hata bado hajaanza kazi. Yani ujumbe wa moja kwa moja uliompa ni kuhusu kugombea wanaume. Hii si sawa hata kidogo.
Kama uliona tatizo hilo lipo kwa DC wa Kisarawe basi ilitosha kabisa kumuonya yeye kama yeye na siyo kumuhusisha na mtu mwingine ambaye kimsingi ndiyo kwanza anaanza majukumu mapya.
Rais, kumbuka kuwa kwa sasa kuna teknolojia pana ya utafutaji taarifa na inamilikiwa na watu wengi sana. Matamshi yako yatadumu kusikilizwa kwa vizazi vingi vijavyo hivyo inakupasa kuwa na uangalifu mkubwa.
Aidha, Jokate kimsingi amepewa hati chafu na huenda sasa hata afanye nini bado ataonekana ana sifa mbaya ya kugombea wanaume ofisini. Hii ni sifa mbaya na ya mwisho kwa mwanamke! Mbaya zaidi imetolewa na Rais tena hadharani.
Vipi na Mbowe kulewa hadi kuanguka akasingizia amevamiwa haikuwa udhalilishaji? Au iko nje ya mada? Ahahhahaha!Huwezi kuleta utani ambao ni matusi mbele ya hadhira. Kwa maana halisi, mwanamke anayegombea wanaume ni KAHABA au MALAYA. Jee Jokate anagombea wanaume?
Jee Jokate ni Malaya au Kahaba kulingana na maneno ya Rais?
Tabia hii ya kudhalilisha watu imeshika kasi na utetezi wenu ni kuwa anatania. Je, na yeye tumtanie atakaa kimya?
Kuwa nje ya mada kunaweza kusababishwa na sababu nyingi.Vipi na Mbowe kulewa hadi kuanguka akasingizia amevamiwa haikuwa udhalilishaji? Au iko nje ya mada? Ahahhahaha!
Kumekuwa na desturi humu ndani kila kitu cha ajabu anachozungumza Rais wapambe wake mnasema utani. Yeye kama mkuu wa nchi anatakiwa kupima sana kauli zake, hata kama anatania inabidi ajifunze kutafakari kabla hajaongeaMimi najua Rais wako alizungumza katika mazingira ya utani tu. Hakumaanisha hivyo
Kama kweli anagombea wa wanaume jibu ndio kahaba au malayaHuwezi kuleta utani ambao ni matusi mbele ya hadhira. Kwa maana halisi, mwanamke anayegombea wanaume ni KAHABA au MALAYA. Jee Jokate anagombea wanaume?
Jee Jokate ni Malaya au Kahaba kulingana na maneno ya Rais?
Tabia hii ya kudhalilisha watu imeshika kasi na utetezi wenu ni kuwa anatania. Je, na yeye tumtanie atakaa kimya?
Vijana wa Ufipa wa mitandaoni mnapenda kufikiri mna akili kweli kuzidi wengine. Ahahahahah!Kuwa nje ya mada kunaweza kusababishwa na sababu nyingi.
Moja yaweza kuwa kutokujua unaongelea nini au ujinga tu kutawala akili yako. Sina hakika tatizo lako ni lipi hapo.
Tunaye rais wa kienyeji zaidi duniani na hadi aondoke nchi itakuwa kama kilabu cha gongo.Chonde chonde Rais Magufuli, najua wewe ni vigumu sana kubadilisha kile unachokiamini lakini elewa kuwa sisi sote ni binadamu hivyo kujisitiri na kuwasitiri wenzetu ni jambo la muhimu kweli kweli.