My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Hili ni taifa la kijinga sana, halafu kuna watu wanashangilia huu upuuzi.TUTAONA MENGI MKUU, BAADA YA ISHU YA KUPIGA GOTI NA KUOMBANA MSAMAHA SASA NI MWENDO WA KUANDIKA BARUA KUKIRI KOSA NA KURUDISHA PESA.
NACHOJIULIZAI INA MAANA HIZO PESA WALIKUWA TU WAMEKAA NAZO HAWAKUTUMIA AU WAMEPEWA ZINGINE WAFANYIE MAIGIZO??? [emoji16]
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.Hii ni mipango mkakati wa kutunisha mfuko uliochakaa...hazina.
Naona ni wizi wa mchana.
Japo humo yapo mijizi ya kweli pia
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
Hili ni taifa la kijinga sana, halafu kuna watu wanashangilia huu upuuzi.
Mtu katuhumiwa tu, haijulikani Kama ana makosa au la, wewe unamwambia akiri kosa lake kisha arudishe pesa na umtoe jela, huo ni ujambazi wa mchana kabisa
Serikali haina pesa ,Magufuli kachezea pesa hovyo, kanunua ndege mbovu, ana miradi kibao, bado katumia pesa kuhonga wapinzani waende CCM, wahisani wamemtosa kwa sababu kaminya Demokrasia na utawala bora, GDP imeshuka, korosho kaiharibia soko, nina mashaka sana pengine tuna Rais mamluki aliyepo maalumu kuimaliza Tanzania.kama alivyokuwa Michael Gorbachev.
Ukitoka mwezini kaoge then uje kusasambua tenaMrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Naona unabwabwaja
Hili ni taifa la kijinga sana, halafu kuna watu wanashangilia huu upuuzi.
Mtu katuhumiwa tu, haijulikani Kama ana makosa au la, wewe unamwambia akiri kosa lake kisha arudishe pesa na umtoe jela, huo ni ujambazi wa mchana kabisa
Hii ni aibu kubwa sana kwa TaifaHivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?
Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.
Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?
Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.
Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?
Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
Nyie ndo wanafiki mliomzunguka Magufuli, mnamdanganya ili apotee, kisha mje kukaa pembeni, yeye ni nani hata asikosolewe?Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Jibu hoja ya mada, usichangie mada ya watu intellectuals wakati wewe ni zero brain, bila kusifia hujala, watu Kama wewe mlipaswa kufanyiwa majaribio na madaktari waliopo mafunzoni maana hueleweki Kama ulitokana na nyani au Binadamu gani weweMuzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .
Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.
Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!
Naona unabwabwaja