Rais Magufuli kumbe bado unawalipa uliowaita mafisadi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,954
48,751
1472199524202.jpg
View attachment 387992 kama ni kweli bado unayalipa haya majipu mamilioni ya pesa wakati waliochukua nafasi zao nao unawalipa mamilioni kama ni kweli basi Mimi nimeacha siasa kabisa niludi kwenye betting

Hii haikubaliki hata kidogo walimu wamekatwa mishaara yao

Vijana hawajapewa pesa ya field study!!

Ajira za walala hoi bado !!
Alafu unalipa mafisadi uku ukitwambia unapambana na ufisadi?
Very sad
 
Hahaaa, unaficha jina la gazeti ili tusijue ni Tanzania Daima, tulishausoma huo umbea. Bahati mbaya wameyandika wao peke yao. Mnataka kutusahaulisha na Mbowe kukwepa kodi? Mwambieni alipe KODI hatutaki majizi.
 
Kwani wamefukuzwa kazi ama wamesimamishwa kazi? Kwa kawaida mtu akisimamishwa anaendelea kulipwa mshahara isipokuwa madaraka yake hayafanyi kazi
Wajinga tu hao, wao ndo walikuwa wanawatetea kwamba wanafukuzwa bila kupewa nafasi ya kujitetea.
 
Hahaaa, unaficha jina la gazeti ili tusijue ni Tanzania Daima, tulishausoma huo umbea. Bahati mbaya wameyandika wao peke yao. Mnataka kutusahaulisha na Mbowe kukwepa kodi? Mwambieni alipe KODI hatutaki majizi.
Wewe acha ujinga sasa kama ni uongo si lifungiwe ilo Gazeti?
 
Lazima atoe Pesa. Na.wanaweza shinda kesi mahakamani, wakadai fidia kubwa. Na wqlqlipwa vilevile.
 
View attachment 387995View attachment 387992 kama ni kweli bado unayalipa haya majipu mamilioni ya pesa wakati waliochukua nafasi zao nao unawalipa mamilioni kama ni kweli basi Mimi nimeacha siasa kabisa niludi kwenye betting

Hii haikubaliki hata kidogo walimu wamekatwa mishaara yao

Vijana hawajapewa pesa ya field study!!

Ajira za walala hoi bado !!
Alafu unalipa mafisadi uku ukitwambia unapambana na ufisadi?
Very sad
Hivi hujui tofauti kati ya kufukuzwa na kusimamishwa kazi? Lazima walipwe stahiki zao maana umewatuhumu tu na hujathibitisha
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom