Rais Magufuli kumbe bado unawalipa uliowaita mafisadi?

Unapo msimamisha mtu kazi unatakiwa hiyo nafasi iwe wazi mpaka umalize uchunguzi !!
Sasa unapomsimamsha alafu unaleta mtu mwingine wote unawalipa mamilioni alafu unasema unabana matumizi ni upuuzi wa hali ya juu!!!
Kwa hiyo hapo tatizo ni kuwalipa waliosimamishwa au ni hao wengine walioajiriwa kuziba nafasi zao??.
 
Kwa hiyo hapo tatizo ni kuwalipa waliosimamishwa au ni hao wengine walioajiriwa kuziba nafasi zao??.
Uwezi lipa mishaara miwili kwa watu wawili tofauti kwa wakati mmoja
Rais wa Brazil si kasimamishwa umesikia wako na rais mwingine ?anayelipwa mshaara kama wake??
 
Juzi niliona barua za "Serikali ya Tunisia" wakiomba wale "mafisadi" malaika walioshushwa waishi kama shetani wasaidie serekali katika kujenga viwanda nikajua tunakokwenda hatutafika
 
Unaweza kutumbua kipele uchungu ukadhani jipu? Ina maana eye sight yako mbovu au vipi? Kwani source of information nayo ilkuwa hewa? Au ni alikadabura tupu?
 
Uwezi lipa mishaara miwili kwa watu wawili tofauti kwa wakati mmoja
Rais wa Brazil si kasimamishwa umesikia wako na rais mwingine ?anayelipwa mshaara kama wake??
Basi kama ni hivyo ashauriwe asiajiri mpaka uchunguzi uishe kama hana hatia arudi job na sio kutomlipa uliemsimamisha
 
W
Sasa wakionekana hawana makosa wote wale atawapangia ofisi zipi? Huko ndo kuongoza kwa mizuka
Wengi waliondolewa kwa majungu tu ya watu. Matokeo yake serikali imeweka pembeni watu wa kazi na kujaza wapiga domo tu na wenye phd ambao muda wote wanawaza kutoa lecture kazini badala ya ku act. Impact yake tutaiona muda si mrefu.
 
Kuna siku watu wataelewa na hawataamini!!
 
Sasa wakionekana hawana makosa wote wale atawapangia ofisi zipi? Huko ndo kuongoza kwa mizuka
Na ndivyo itakavyokuwa, wengi hawatakutwa na hatia. Ilikuwa ni majungu tu kwa kwenda mbele na fitina kazini. Ushauri wangu, wale ambao hawana issue za msingi warudishwe kazini ili kuepusha double payment ya salaries.
 
Back
Top Bottom